Nyama gani tamu zaidi duniani?

Nyama gani tamu zaidi duniani?

Bibi aliniambia hakuna nyama tamu kama ya Binadamu.

Sijajua kama ni kweli.
 
Namba moja mbili na tatu zinashikiliwa na mdudu almaarufu Kitimoto...hizi nyama nyingine tunakula tu kukidhi matakwa ya viini lishe!
 
Nyama ni nyama tu zote tamu ukijua namna ya kuitumia kwa kuingata, kuitafuna na kuizamisha mdomoni na kuimeza, sio vizuri kuchagua nyama
 
Mdudu...Kitimoto...iwe rost mchicha kwa mbaliiii imekaangwa au imechomwa pembeni kachumbali na pepsi ya bariiidiii Mkuu acha tu
 
Kuna nyama Fulani ambayo huwezi kuila Ila utamu wake unausikilizia hadi kisogoni hii nyama ina harufu flani amazing hivi .

Inaotaga vinyweleo hasa ikikaa mda mrefu bila kupitishwa moto.

Inatoa majimaji meupe
Ikiguswa na kisu.

Ama kweli nyama ya kitimoto ni nyama tamu sana

Baadae naenda kuagizis nusu kilo yangu ya nyama hii ya kitimoto na castle zangu mbili maisha burudani kabisa.

[emoji3] [emoji14] [emoji12]
 
Ya mtu na pindi utakapoila huwezi kuiacha!
 
Nyama yeyote ambayo hailiwi kwa mdomo hiyo Ni Tamu aisee.
 
Back
Top Bottom