Nyama, nyama, shida nini?

Nyama, nyama, shida nini?

Kifude

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Jamani,naombeni msaada, mimi na shemeji yenu tuna tatizo,kila siku tunapopika nyama kesho yake lazima iharibike,ikose radha,tumejaribu kufanya jitihada kibao imeshndkana,SERIOUS NAOMBENI MSAADA
 
una friji? kama YES, weka tangawizi kitunguu na chumvi kisha chemsha usiweke majai. hifandhi
NO. basi hakikisha nyumba yako haina joto na usiunge na kuweka chumvi
 
asante mkuu ingawa,friji sina
 
Kama huna friji na ushaiunga nyama yako hiyo then hakikisha sufuria yenye nyama hiyo iliyobakia huifuniki iaache wazi mpaka kesho nakuambia utakuta nyama yako bado fresh
 
ila kuna siku 2liacha kutoifunika,mambo yakawa yale yale
 
Nilijua ni ile nyama nyingine inayoliwa faragha.

Kwa uelewa wako kweli ile inayoliwa faraga inakaa kwenye fridge, kafie mbali huko huenda ushalewa upo chakari ndo maana unaongea pumba kwenye issue za maana
 
Mbona sioni kama ameongea pumba...kwanza mleta mada hapa si mahala pake..Angepeleka kula Jukwaa la mapishi....Hata mm nilidhani ni ile nyama ingine kutokana na mada kuwa si mahala pake..
 
sawa,nimekosea lkn naombeni msaada wa tatzo langu jamani
 
Kama huna friji na ushaiunga nyama yako hiyo then hakikisha sufuria yenye nyama hiyo iliyobakia huifuniki iaache wazi mpaka kesho nakuambia utakuta nyama yako bado fresh
mende na panya je!!!!!
 
Back
Top Bottom