Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Angekaa Shinyanga huyu fisi wote angewamalizaMkuu fisi yule mwenye miguu mifupi? Aisee😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekaa Shinyanga huyu fisi wote angewamalizaMkuu fisi yule mwenye miguu mifupi? Aisee😀😀
Aah mlikua pori gani hilo kwenye ukame wa nyama hivo, hadi kula fisi si mchezo😀Huyohuyo fisi A.k.A mzee wa kazi huyu hapaView attachment 2831743
Quran imeandika ule fisi Ila usile pigSijawahi kula pig ila kilicho halali ni kitam kuliko kilicho haram kwahiyo fisi ni mtamu zaidi.
Na anavyotisha hivi unaanzaje kula fisi jamani😀🤔Angekaa Shinyanga huyu fisi wote angewamaliza
Wakati mnamdaka hakutoa kale kamlioHuyohuyo fisi A.k.A mzee wa kazi huyu hapaView attachment 2831743
Nimekula panya (sio wa nyumbani), ngedere, paka pori anayekula kuku, mapaja ya bundi lakini kenge hapana aisee. Harufu yake sikuipenda. Sema ukiondoa kichwa anakuwa kama samaki na ule mfupa wa kati kabisa
Kuna sehem moja inaitwa Hafara ipo sudan ni karibu na mipakani tuliharibikiwa gari eneo ambalo magari hayafiki na network ni ya shida wakati tunafanya mchakato wa kutafuta msaada akajipendekeza mzee wa kazi tukacheza nae tukasema tule lakini iwe siri yetu.Aah mlikua pori gani hilo kwenye ukame wa nyama hivo, hadi kula fisi si mchezo😀
Hawa wanyama drc ni vitoweo vzr tuKijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Mkuu,Nyama ya kenge!! Hapana aisee
Ila fisi lazima uumwe maana Ile nyama ni ya ABNORMAL CREATURES 😊😊😂😂😂Kuna sehem moja inaitw Ad-damar ipo sudan ni karibu na mipakani tuliharibikiwa gari eneo ambalo magari hayafiki na network ni ya shida wakati tunafanya mchakato wa kutafuta msaada akajipendekeza mzee wa kazi tukacheza nae tukasema tule lakini iwe siri yetu.
Nipo makini aisee KULIWA hapanaKuwa makini usije ukageuka kitoweo pia😀
Kenge haliwi we mzee umerogwa?
Yaani kula Kenge nako ni culture?[emoji3] ila bongo hii aiseeSi njaa. Its our lovely culture.
😂😂Kenge haliwi we mzee umerogwa?
Fisi wanaliwa na wababe wa pori to pori hasa mkiona dalili ya chakula kukata na wanyama wako mbali fisi huwa anatabia ya kiherehere anasogea mnamtandika msosi tayariIla fisi lazima uumwe maana Ile nyama ni ya ABNORMAL CREATURES 😊😊😂😂😂
Mkuu mnyama ngozi, akishachunwa kitoweo, ulizia wilaya ya Rakai mpakani mwa Uganda/ DRC wanakula nini.... Mwisho kutembea saa 10 jioni zaidi ya hapo utaliwa.Kijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Ohoo ok kama mko porini it makes sense, ila ingeshtua sana kama tu kwa hali ya kawaida mkamla fisi miguu mifupi😀Kuna sehem moja inaitw Ad-damar ipo sudan ni karibu na mipakani tuliharibikiwa gari eneo ambalo magari hayafiki na network ni ya shida wakati tunafanya mchakato wa kutafuta msaada akajipendekeza mzee wa kazi tukacheza nae tukasema tule lakini iwe siri yetu.
Ni ya kwel hayo fisi ukikanyaga mavi yake hata ukigusa ngozi yake unaugua sembuse kumla😊😊😂😂😂😂Fisi wanaliwa na wababe wa pori to pori hasa mkiona dalili ya chakula kukata na wanyama wako mbali fisi huwa anatabia ya kiherehere anasogea mnamtandika msosi tayari
Ukiringa mara mbili njaa ikikupiga ya 3 unaomba nyama mwenyewe
Nimekumbuka kenge wa chuo wale hivi unamlaje kenge jamani si kujitafutia sumu tu huko😀Nipo makini aisee KULIWA hapana
Financial kama financial 😊😊😂😂😂Ohoo ok kama mko porini it makes sense, ila ingeshtua sana kama tu kwa hali ya kawaida mkamla fisi miguu mifupi😀
Kuna siku kijijini kwetu tulipata yule Kanga pori, master mimi mwenyewe mama anaogopa, nikamuandaa picha linaanza naona ana kama ngozi flani nyeusi kidogo ila viungo vyote ni kuku kabisa. Kwenye kula nilisumbuka nikitaka kutafuna na kumeza nahisi kama ni sumu hivi haikupita kabisa kooni, wadogo zangu ndiyo kabisaa wakati naandaa walivyooona tu walisema kabisa wanaogopa hawatokula. Sitosahau😀😀