Nyama ya kenge

Nyama ya kenge

Dah mnatisha sana ,watu wanakula hadi mamba ,nyoka ,nyani,simba,mtu sembuse huyo,
 
Unacheza na njaa ilinifanya Nile ndizi mbichi na maboga mabichi Moshi miaka hiyo
Sawa mkuu ila Kuna njaa na hamu ya kula mkuu...

Naijua njaa naijua dhiki inafananaje hasa ukikosa upendo wa wazazi na ndugu wakasema hawakutaki mpenzi wa moyo wako akakimbia๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Haa kwamba kupika uliona itachukua muda ama ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ pole
Ni stori ndefu,ila kiufupi nilifanya msala mmoja mkubwa home nikakimbilia machakani
Nalala porini mchana usiku naibukia mashambani kutafuta misosi zaidi ya wiki mbili
Nikipata muda nitashusha uzi
 
Ohoo ok kama mko porini it makes sense, ila ingeshtua sana kama tu kwa hali ya kawaida mkamla fisi miguu mifupi๐Ÿ˜€

Kuna siku kijijini kwetu tulipata yule Kanga pori, master mimi mwenyewe mama anaogopa, nikamuandaa picha linaanza naona ana kama ngozi flani nyeusi kidogo ila viungo vyote ni kuku kabisa. Kwenye kula nilisumbuka nikitaka kutafuna na kumeza nahisi kama ni sumu hivi haikupita kabisa kooni, wadogo zangu ndiyo kabisaa wakati naandaa walivyooona tu walisema kabisa wanaogopa hawatokula. Sitosahau๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kanga nyama yake huwa ni nyeusi flani ni nyama nzuri kuliko kuku wanaopigwa chanjo kila kukicha
 
Nyama ya kenge tamu kuku,Bata hawaingiii hrf nyama nyeupe kama samaki safiiiii kbsaaaaa Radha yake inaendana na chatu!
 
Back
Top Bottom