Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

Sie hatuli samaki na nguruwe mila zinakataza japo sio waislam maisha yanasonga.
 
Ingekuwa mdudu ana ugonjwa mimi ningeshakufa. Nimeanza kula mdudu mwaka 1995 nikiwa darasa la kwanza. Nilivyofika form one shule yetu ilikuwa na nguruwe na mimi nilikuwa in charge wa nguruwe Mbeya huko. Nimekula vigozi, nyama, mbavu hadi utumbo.
[emoji2961]
 
Kwanini wewe unaumia sana mimi kula uchafu?
Sio vizuri kwa afya yako coz akhera lazima tukaulizwe kuwa ulimuona mtu flani akikosea kwa nini hukumuambia kuwa hivyo anavyofanya anakosea so ni jukumu letu kama binaadam kukumbushana
 
Nyama ya nguruwe inaliwa na sehemu zote duniani na katika nchi ambazo zinaongoza kwa watu kuishi miaka mingi duniani kama Japan na Korea Kusini. Nyama ya nguruwe ni ya pili duniani kwa kupendwa na kuliwa na watu wengi duniani . Waweza ona data hapa kwenye internet zipo nyingi mfano hapa: Statista - The Statistics Portal. Na nchi zilizoendelea kisayansi na teknolojia ndio wanakula zaidi nyama ya nguruwe.
It is also a fact kwamba nguruwe wasipofugwa kisasa wanapata minyoo ambapo nyama isipopikwa vizuri wanaweza ingia kwa binadamu.Hii ni fact kwa wanyama wengine pia wanaoliwa nyama kama ng'ombe na wengine. Hivyo tatizo la minyoo kutoka nyama zinatokana na ufugaji kienyeji ni kwa nyama za wanyama wote, nyama inayoliwa inafaa kuwa well cooked. Tatizo la minyoo ni kwa wanyama wanaofugwa kienyeji ambao hawapewi kinga wala tiba sio kwa ufugaji wa kisasa.
Kuhusu magonjwa mengine kama cancer nk kutokana na nguruwe ni exagerration isiyo na mashiko. Wanaokula nyama ya nguruwe kwa wingi ni katika nchi zilizoendelea ambao wameendelea zaidi kisayansi na teknolojia kuliko sisi. Ingekuwa kweli wao wangekuwa wa kwanza kuacha kufuga hata kula. Ukweli ni kwamba nyama ya mnyama yoyote kwa ujumla ikiliwa kupita kiasi (zaid sana kuliko vyakula vingine kwenye mlo) inaweza leta madhara. Kwamba ulaji kupita kiasi wa nyama unaweza sababisha cancer ni kwa nyama zote nyekundu. Issue hapa ni proportion ya nyama versus vyakula vingine kwenye mlo versus umri wa mtu. Tunajua mtu mzima hahitaji protein nyingi kama mto anaekua.
'Red meat includes pork, beef, veal, and lamb. Processed meat includes bacon, ham, lunch meats, meat jerky, hot dogs, salami, and other cured meat products. Any amount of processed meat and more than around 18 ounces of fresh meat per week are most strongly linked with a higher risk of cancer'👈Quote toka www.info.com

Machapisho mengi yenye kampeni dhidi ya nyama ya nguruwe yanatokana na imani za kidini hususan waislam na wasabato ambao hawajui maandiko vizuri. Bahati mbaya sana wanapambana na nyama ya nguruwe kuliko dhambi zingine. Vitabu vya dini vinatakiwa kusomwa vifungu zaidi ya kimoja lakini pia kuelewa kifungu kilikuwa kinalenga watu gani na kwa mazingira gani. Mungu alipoumba mwanadamu pale Eden alimuelekeza kula majani na matunda. Hata hivyo baadae Mungu alimruhusu mwanadamu kula nyama baada ya gharika (Mwanzo 9:3).
Baadae Mungu alipoamua kutembea na wana Israel akawapa sheria kuhusu vyakula ambazo mara nyingi huitwa torati ya Musa(Soma Walawi 11 yote).
Baada ya Yesu Kristo kuja na kutukomboa Biblia ipo wazi kuhusu swala la chakula(Mathayo 15:11, Matendo 15:20, Warumi 14:14,Tito 1:15..).
Warumi 14:14 inasema: 'Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi'. Hivyo Agano Jipya lipo wazi kabisa kuhusu chakula. Wanaoamini kwenye torati ya Musa hawajui kwamba kuna agano jipya. La kushangaza zaidi wanao enenda kwa mujibu wa torati ya musa sasa wanachagua vitu vya kufuata kama nguruwe siku za jumamosi..nk. Torati ya Musa ina Sheria 613 ila hao wenzetu wanafuata sheria chache kama habari ya nyama ya nguruwe tu🙂.
Kwenye sayansi hakuna utafiti unaosema nyama ya nguruwe isitumiwe kama chakula. Kwenye dini ni swala binafsi au la wanaoamini.Sisi wakristo tunaoamini kwenye ukombozi wa Yesu Kristo na agano jipya hakuna zuio la aina ya vyakula, hakuna nyama ya wanyama waliokatazwa kufanywa chakula!
#Malafyale Farms
Wana JF nawasalimu,

Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe.

Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo bebeshwa nyama ya nguruwe.

Nyama ya nguruwe inasemekana ni tamu kuliko nyama zozote zile duniani. Ni kweli?

Nyama ya nguruwe inasemekana ina vimelea khatari vinavoweza kumsababishia mlaji ugonjwa wa ini. Ni kweli?

View attachment 1883744View attachment 1883745View attachment 1883747
Nyama ya nguruwe inaliwa na sehemu zote duniani na katika nchi ambazo zinaongoza kwa watu kuishi miaka mingi duniani kama Japan na Korea Kusini. Nyama ya nguruwe ni ya pili duniani kwa kupendwa na kuliwa na watu wengi duniani . Waweza ona data hapa kwenye internet zipo nyingi mfano hapa: Statista - The Statistics Portal. Na nchi zilizoendelea kisayansi na teknolojia ndio wanakula zaidi nyama ya nguruwe.
It is also a fact kwamba nguruwe wasipofugwa kisasa wanapata minyoo ambapo nyama isipopikwa vizuri wanaweza ingia kwa binadamu.Hii ni fact kwa wanyama wengine pia wanaoliwa nyama kama ng'ombe na wengine. Hivyo tatizo la minyoo kutoka nyama zinatokana na ufugaji kienyeji ni kwa nyama za wanyama wote, nyama inayoliwa inafaa kuwa well cooked. Tatizo la minyoo ni kwa wanyama wanaofugwa kienyeji ambao hawapewi kinga wala tiba sio kwa ufugaji wa kisasa.
Kuhusu magonjwa mengine kama cancer nk kutokana na nguruwe ni exagerration isiyo na mashiko. Wanaokula nyama ya nguruwe kwa wingi ni katika nchi zilizoendelea ambao wameendelea zaidi kisayansi na teknolojia kuliko sisi. Ingekuwa kweli wao wangekuwa wa kwanza kuacha kufuga hata kula. Ukweli ni kwamba nyama ya mnyama yoyote kwa ujumla ikiliwa kupita kiasi (zaid sana kuliko vyakula vingine kwenye mlo) inaweza leta madhara. Kwamba ulaji kupita kiasi wa nyama unaweza sababisha cancer ni kwa nyama zote nyekundu. Issue hapa ni proportion ya nyama versus vyakula vingine kwenye mlo versus umri wa mtu. Tunajua mtu mzima hahitaji protein nyingi kama mto anaekua.
'Red meat includes pork, beef, veal, and lamb. Processed meat includes bacon, ham, lunch meats, meat jerky, hot dogs, salami, and other cured meat products. Any amount of processed meat and more than around 18 ounces of fresh meat per week are most strongly linked with a higher risk of cancer'👈Quote toka www.info.com

Machapisho mengi yenye kampeni dhidi ya nyama ya nguruwe yanatokana na imani za kidini hususan waislam na wasabato ambao hawajui maandiko vizuri. Bahati mbaya sana wanapambana na nyama ya nguruwe kuliko dhambi zingine. Vitabu vya dini vinatakiwa kusomwa vifungu zaidi ya kimoja lakini pia kuelewa kifungu kilikuwa kinalenga watu gani na kwa mazingira gani. Mungu alipoumba mwanadamu pale Eden alimuelekeza kula majani na matunda. Hata hivyo baadae Mungu alimruhusu mwanadamu kula nyama baada ya gharika (Mwanzo 9:3).
Baadae Mungu alipoamua kutembea na wana Israel akawapa sheria kuhusu vyakula ambazo mara nyingi huitwa torati ya Musa(Soma Walawi 11 yote).
Baada ya Yesu Kristo kuja na kutukomboa Biblia ipo wazi kuhusu swala la chakula(Mathayo 15:11, Matendo 15:20, Warumi 14:14,Tito 1:15..).
Warumi 14:14 inasema: 'Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi'. Hivyo Agano Jipya lipo wazi kabisa kuhusu chakula. Wanaoamini kwenye torati ya Musa hawajui kwamba kuna agano jipya. La kushangaza zaidi wanao enenda kwa mujibu wa torati ya musa sasa wanachagua vitu vya kufuata kama nguruwe siku za jumamosi..nk. Torati ya Musa ina Sheria 613 ila hao wenzetu wanafuata sheria chache kama habari ya nyama ya nguruwe tu🙂.
Kwenye sayansi hakuna utafiti unaosema nyama ya nguruwe isitumiwe kama chakula. Kwenye dini ni swala binafsi au la wanaoamini.Sisi wakristo tunaoamini kwenye ukombozi wa Yesu Kristo na agano jipya hakuna zuio la aina ya vyakula, hakuna nyama ya wanyama waliokatazwa kufanywa chakula!🤝
#Malafyale Farms
 
Back
Top Bottom