Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

Hivi kiimani imetumika kigezo gani kubatilisha?
Kigezo kwa upande wa imani ya Dini ya kiislam cha kuharamisha nyama ya nguruwe, ni kigezo kilekile walichotumia wanasayansi na kugundua kuwa nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya ya mlaji.
 
Kigezo kwa upande wa imani ya Dini ya kiislam cha kuharamisha nyama ya nguruwe, ni kigezo kilekile walichotumia wanasayansi na kugundua kuwa nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya ya mlaji.
sayansi inakataza ulaji wa kitimoto unauhakika?
 
Baadhi ya imani za dini Ng'ombe kwao ni haramu hivyohivyo wengine nyoka ni bei kali kuliko mbuzi na nguruwe kule iringa Bei ni Chee Ila dar nguruwe bei juice, inathamani kwa watumiaji swala la madhara watu hawalitambui.
 
Wana JF nawasalimu,

Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe.

Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo bebeshwa nyama ya nguruwe.

Nyama ya nguruwe inasemekana ni tamu kuliko nyama zozote zile duniani. Ni kweli?

Nyama ya nguruwe inasemekana ina vimelea khatari vinavoweza kumsababishia mlaji ugonjwa wa ini. Ni kweli?

View attachment 1883744View attachment 1883745View attachment 1883747
Mbona mimi nakula zaidi ya miaka 50 bado niko vizuri. Achana na primitive mythology
 
Baadhi ya imani za dini Ng'ombe kwao ni haramu hivyohivyo wengine nyoka ni bei kali kuliko mbuzi na nguruwe kule iringa Bei ni Chee Ila dar nguruwe bei juu, inathamani kwa watumiaji swala la madhara watu hawalitambui.
 
Hivi kiimani imetumika kigezo gani kubatilisha?
Katika mambo ya jumla sababu ni kuwa mtihani kwetu (majaribio).

Eidha tuwache tufaulu,au tule tufeli mtihani.
 
Ngurue anavijidudu ambavyo hata wanyama wa nyama nyekundu hana amabavyo hata uchemshe kwa mda gani havifi ndio ivyo vinavyosbabisha mafunza mwilini
Kwa nini isichukuliwe nyama ambayo imechoma alafu ikatiwa kokacola tuone kama hayo mambo yatatokea ?

Kwa sababu nyama mbichi wala nguruwe hawali,hivyo haiwezekani ikatumika nyama mbichii kwa sababu hakuna anaekula.
 
Ifike mahali hyu mnyama apewe cheti Cha nishai
 
Wana JF nawasalimu,

Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe.

Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo bebeshwa nyama ya nguruwe.

Nyama ya nguruwe inasemekana ni tamu kuliko nyama zozote zile duniani. Ni kweli?

Nyama ya nguruwe inasemekana ina vimelea khatari vinavoweza kumsababishia mlaji ugonjwa wa ini. Ni kweli?

View attachment 1883744View attachment 1883745View attachment 1883747
Ina madhara mwilini
2624294058743731664.jpg
2624294058852753406.jpg
2624294058844344999.jpg
2624294058718461676.jpg
2624294058726833212.jpg
2624294058751962950.jpg
 
Ingekuwa mdudu ana ugonjwa mimi ningeshakufa. Nimeanza kula mdudu mwaka 1995 nikiwa darasa la kwanza. Nilivyofika form one shule yetu ilikuwa na nguruwe na mimi nilikuwa in charge wa nguruwe Mbeya huko. Nimekula vigozi, nyama, mbavu hadi utumbo.
 
Hayo madhara uliyoyasema, yapo kwenye karibu kila aina ya nyama! Infact, white meat (kama ya nguruwe, kuku na samaki) inatajwa kua afadhali kiafya kuliko red meat (kama ya ng'ombe na mbuzi) na ndio maana nchi zilizoendelea wanakula sana nguruwe kuliko ng'ombe. Mengine ni kutishana tu, na ndio maana ili kukwepa kabisa hayo madhara kuna watu wameamua kutokula kabisa nyama (vegeterians) .
Nyama Ya Kondoo vipi?
 
Back
Top Bottom