safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu pinga kwa ushahidi unaofanana na tukio.Ukitaka kujua huyu ni mdudu chukua nyama yake weka kwenye bakuli changanya na Coca-Cola original baada ya nusu saa au saa 1 utakuja kunishkuru utakachokikuta humo View attachment 1883754View attachment 1883755View attachment 1883757
Wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa hawali nguruwe mbichi.
Mfano wako uliotoa ni mfano ambao umetolea kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichhi haijachomwa.
Hapa tunakosa kufananisha kwa sababu wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa,na wewe unafanya ushahidi kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichi.
Vipi unafananisha baina ya nyama mbichi na iliyopikwa kwa madhara ?
NB : imani yangu naamini nguruwe haramu kuliwa.