Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yakinikuta 75+ kuna hasara gani hapo?Ujue kuwa madhara ya KITIMOTO ni nyemelezi, sio ya PAAP kwa hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakinikuta 75+ kuna hasara gani hapo?Ujue kuwa madhara ya KITIMOTO ni nyemelezi, sio ya PAAP kwa hapo!
Wayahudi na waarabu walikua na stress tuuKisayansi sijui kama imethibitishwa ya kwamba mnyama asiye cheua ana madhara na yule ambaye hajapasuka kwato uharamu au unajisi wake unasababishwaje na kutokupasuka kwato. Wala samaki asiye ma magamba/mapezi hiyo inamsababishiaje yeye kuwa haramu
Japo nguruwe sijawahi kula wala bata sijawahi kumtia mdomoni.
Ni hayo tu kwa sasa
Nchi zilizoendelea wanakula zote sema nguruwe ni cheap zaidiHayo madhara uliyoyasema, yapo kwenye karibu kila aina ya nyama! Infact, white meat (kama ya nguruwe, kuku na samaki) inatajwa kua afadhali kiafya kuliko red meat (kama ya ng'ombe na mbuzi) na ndio maana nchi zilizoendelea wanakula sana nguruwe kuliko ng'ombe. Mengine ni kutishana tu, na ndio maana ili kukwepa kabisa hayo madhara kuna watu wameamua kutokula kabisa nyama (vegeterians) .
wao wanakula kitimoto na kushushia na viywaji baridi, lakini hawawezi kupiga marufuku sababu wanaopinga ulaji wa kitimoto wanapinga kwa hoja za kisayansi na kusibitisha.Hivi kwanini serikali haipigi marufuku watu wanaopotosha kuhusu kitoweo cha kitimoto?
Inamaana viongozi wa serikali hawajawahi kula kitimoto wakashushia na safari ya baridi?
Wanapinga kidini sio kisayansiwao wanakula kitimoto na kushushia na viywaji baridi, lakini hawawezi kupiga marufuku sababu wanaopinga ulaji wa kitimoto wanapinga kwa hoja za kisayansi na kusibitisha.
View attachment 1883823
We mpuuzi Sana! Learn to live peacefully!Nyama ya nguruwe taam sana hasa ukila siku ya Ijumaa
Acha kabisa.Kweli kabisa mkuu, raha sana kula ukiwa na wana
Hapana mzee, hapo namaanisha kula siku za weekend
Utamu wa kitimoto unaweza kula hata vidole vyako 😂😂😂Acha kabisa.
Kitimoto ina ladha yake ya kipekee ambayo hutaiona kwa ng'ombe au kwa kuku mpwa.
Ule utamu sijui huwa unatokana na nini!
Yaani mifupa yake hata kama imeungua, inatafunika kiurahisi....
Pembeni kuna kachumbari na pilipili na ndizi za kuzugia...aloooooo.
Nina uwezo wa kumaliza kilo moja na nusu ya kitimoto, ila nusu ya ng'ombe simalizi, sijui kwa nini.
Tena ngoja niamke nikaisake pale Waswanu....
KITIMOTO ni taam ukila siku saba za wikiSema basi! kama nitalalamika.
Utamu wa kitimoto unaweza kula hata vidole vyako 😂😂😂
Daah sitaki kuamini kwamba kuna binadamu aliye hai hataki kula vitu vizuri kama hizi
Cha msingi ni tule kitimoto tuu hayo mengine tutajua hukooooooo mbeleChakula chochote hakitomfaa mtu kwa afya yake kama hatokiandaa vizuri kwa usalama wake..nyama ya kitimoto aka MKUU WA MEZA ni nyama nzuri sana kwa ladha lakini inahitaji kuifahamu zaidi au utaalamu katika maanadalizi ili na imfae mtu . Hayo mengine ya haramu me nadhani ibakie kuwa ni utamaduni wa dini au dhehebu fulani. Dini zenyewe tuliletewa na hakuna dini isiyokosa udhaifu fulani juu ya dini nyingine