Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Hahaha, enzi za mwendazake wangethubutu hata kama ni himaya ya CDM?himaya ya CHADEMA
Kwa akili yako ni kwamba rais amesimama hapo kea bahati mbaya? Jidanganye, hapo pameandaliwa . Kipindi Cha Magufuli benders zote za chadema jiji zima la mwanza zingeshushwa kwa muda wote.Hapo alikuwa anapita tu akasimama kuongea na raia njian lakini hiyo bendera huwezi kuikuta sehemu ambayo imeandaliwa aje kuhutubia sio kwake tu au kwa upande wa CCM tu ila Chadema hawezi kuandaa mkutano sehemu fulani alafu wakaacha bendera ya CCM iko pembeni inapepea.
Hujui huwa kuna ADVANCE TEAM popote pale anapopita Rais! Yani watendaji wa Serikali wanashirikiana katika kuhakikisha mazingira ya ujio wake, maana route inajulikana.Hapo alikuwa anapita tu akasimama kuongea na raia njian lakini hiyo bendera huwezi kuikuta sehemu ambayo imeandaliwa aje kuhutubia sio kwake tu au kwa upande wa CCM tu ila Chadema hawezi kuandaa mkutano sehemu fulani alafu wakaacha bendera ya CCM iko pembeni inapepea.
Acha upotoshaji hakuna alobebea bendera ya CHADEMA hapo bendera ipo kwenye mringoti wake maeneo ya kona ya butimba mkolani. Jifunzeni kuwa wakweli msilete mada ili lengo la kumtukana Marehemu.Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CDM inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana...
Mbona wapo sana, unaogopa kivuli chako..?Niliwahi kumwambia Bia yetu na Kawe Alumni kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kup[osti hapa jukwaani ujinga ujinga na kwamba they wont make it, leo nina mwezi au zaidi ya mwezi sijawaona. Kuiua Chadema kwa maneno ya mtandaoni sio rahisi, wameshindwa kwa risasi ndio wataweza kwa maneno? MATAGA wamekimbiana
Acha uongo hapo kona ya Butimba BENDERA YA CHADEMA huwa ipoo mda wote mkuu haijarishi ziara ya nani ila kwa vile mnataka kuongea kipropaganda sawa ila hata kipindi cha mwendazake hiyo bendera haikuwahi kushusha mkuu.Kwa akili yako ni kwamba rais amesimama hapo kea bahati mbaya? Jidanganye, hapo pameandaliwa . Kipindi Cha Magufuli benders zote za chadema jiji zima la mwanza zingeshushwa kwa muda wote...
Nani amemfuata mwenzake.Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana...
Dah..!! Too bad..Mwendazake alikuwa anataka kuiua CHADEMA, mwisho wake kafa yeye!
Mbona wanasema Bia yetu ni jiwe mwenyewe..Niliwahi kumwambia Bia yetu na Kawe Alumni kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kup[osti hapa jukwaani ujinga ujinga na kwamba they wont make it, leo nina mwezi au zaidi ya mwezi sijawaona. Kuiua Chadema kwa maneno ya mtandaoni sio rahisi, wameshindwa kwa risasi ndio wataweza kwa maneno? MATAGA wamekimbiana