Nyamagana, Mwanza: Bendera ya CHADEMA yaonekana kwenye mkutano wa Rais Samia

Na ndio waliompoteza wakidhani anakubalika sana, kumbe wanataka kunufaika kupitia yeye

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Acha upotoshaji hakuna alobebea bendera ya CHADEMA hapo bendera ipo kwenye mringoti wake maeneo ya kona ya butimba mkolani. Jifunzeni kuwa wakweli msilete mada ili lengo la kumtukana Marehemu.
Kipindi cha mwendazake zilikuwa zinatolewa hizo, and hamna sehemu nimesema kuna mtu kabeba. BTW picha tu inaonesha bendera ipo kwenye mlingoti, na haikuwa moja, zilikuwa mbili.
 
Nani amemfuata mwenzake
Bendera imemfuata Mama au Mama ameifuata bendera
Pointi ni kwamba enzi za bwana yule zingeshushwa, nani kamfuata nani unaweza kujijibu mwenyewe hilo swali
 
Kwa hiyo??
 
Bwana Yule alikuwa mtu primitive sana!
 
Kuna tofauti ya mkutano wa chama, iwe CHADEMA au ccm na mkutano wa rais wa nchi! Huyo ni rais wa wote hata kama chama chake ni ccm!
 

Acha kuchanganya mambo, huo sio mkutano wa chama bali ni wa serikali. Mkutano ukiwa specific kwa chama ndio huwezi kwenda na bendera ya chama kingine, ila sio kwa mkutano wa kodi za wananchi wote.
 
Acha upotoshaji hakuna alobebea bendera ya CHADEMA hapo bendera ipo kwenye mringoti wake maeneo ya kona ya butimba mkolani. Jifunzeni kuwa wakweli msilete mada ili lengo la kumtukana Marehemu.
Kuna vijana humu ndani ni wapuuzi kupita maelezo.

Lengo la uzi kama huu ni kumvunjia heshima aliyekwisha pumzishwa milele.
 
Nyinyi mnapicha ambayo mlifanya mkutano sehemu kukiwa na bendera ya ccm?
 
Mnasema yote sasa, MaCCM SAMIA, mliojitenga na legacy ya Mwendawazimu.
MATAGA GANG mje huku mtetee legacy .πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwendazake alikuwa anataka kuiua CHADEMA, mwisho wake kafa yeye!
AHAAAAAAAAAAAAAAA! Kuna wimbo wa dini unasema wamenichimbia shimo wakatumbukia wenyewe. Aliwaombea kifo wenzake hata kwa kupigwa risasi Mungu kasema," naona unapenda sana kifo kwa wenzako, sasa kufa mwenyewe huende huko unakopenda wenzako waende"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…