Nyamagana, Mwanza: Bendera ya CHADEMA yaonekana kwenye mkutano wa Rais Samia

Yaani hoja za kijinga jinga, tafuteni pesa acheni ujinga nyie.
Acha upuuzi wewe, siyo kila ujinga kwako ni ujinga kwa mwingine. Ni jambo kubwa sababu halijaonekana kwa miaka 6 sasa, na lisingeendelea kuonekana miaka 14 ijayo kama covid isingefanya yake
 
Acha uongo hapo kona ya Butimba BENDERA YA CHADEMA huwa ipoo mda wote mkuu haijarishi ziara ya nani ila kwa vile mnataka kuongea kipropaganda sawa ila hata kipindi cha mwendazake hiyo bendera haikuwahi kushusha mkuu.
Kunywa maji TAGA , kazi iendelee ,tetea legacy ya Mwendawazimu mpaka mwisho wa dunia 😂
 
Acha upuuzi wewe, siyo kila ujinga kwako ni ujinga kwa mwingine. Ni jambo kubwa sababu halijaonekana kwa miaka 6 sasa, na lisingeendelea kuonekana miaka 14 ijayo kama covid isingefanya yake
Hiyo ilikuwa 2013 kabla ata huyo mwendazake hajaingia madarakani sina hakika kama vitendo hivi vilikuwepo pamoja na yale mabomu yakiyopigwa kwenye mikutano yenu.View attachment 1818232
 
Mama amepita hapa leo Nyegezi anaenda Kigongo Ferry sijaona bendera wala mtu aliyevaa magwanda. Zaidi nimeona Vijana Shupavu wa CCM wakikimbia kutoka mjini kati hadi Buhongwa!
 
Ukweli halisi ndio huu ulioongea.
 
Mwendazake ANGEUNG'OA na Mlingoti wa BENDERA
 
Vyovyote vile , itakavyo kuwa, lakini enzi za jiwe ilikuwa akiingia mkoani/wilayani ilikuwa ni marufuku kwa bendera hiyo kuonekana popote pale!!
 
Bia yetu yupo hapo lumumba anaosha magari ya wagen na viongoz wa chama wanaokuja hapo
 
Mbona wanasema Bia yetu ni jiwe mwenyewe..
Last seen yake ni 28/10/2020, siku ile ya uchafuzi
basi tumbadilishe Jina awe jiwe letu ila uyu mwamba alikuja kama mzimu sijui alitokea wapi? Mwezi mmoja tu kila mtu akamjua sijui alilipwa Tsh ngap mmmm kama sio jiwe mwenyewe ni polepole yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…