Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Kifaa kilikuwa kwenye majaribio bado(hao wote waliokufa walikuwa explorers) Yaani wavumbuzi , fuatilia vizuri. Hii haikuwa ajari ya kawaida bali ilikuwa katika phase ya Majaribio na watu wakafa.

Haikua safar yake ya kwanza hukoo...ndege magari zote ziko proved na bado zinapata ajali
 
Hawarudi means wanakufa au wanaenda kuishi mars
 
Nilisikia alienda mwaka jana anasema una sign kifo tena sehemu tatu na wanakuambia kabisa unaweza ukaenda usirudi
 
Hahahahaaaa,acha ujuaji usio na msingi!
Hebu tueleze hapa,unamaana gani kusema Submarine huwa inapanda juu kupata hewa?
Nuclear submarine inaweza kukaa majini miaka,kikwazo ni chakula tu!
Leta hoja hapa na sio maneno ya kanga!
Sasa ikiibuka si ndo hewa yenyewe we mbwiga.lazima mfanye overhaul mle ndani, taka zote , kinyesi, usafi mkubwa mara 1-2 miezi sita
Ndio ijazwe tena chakula na vinywaji upya .
Mnazama chini tena.
 
Kwann kwenye hizo submarine zisiwe zinawekwa kamba ili ikitokea chchte ivutwe tu
Mimi pia nimejiuliza hili swali , kilomita 4 au 5 mbona ndogo sana kuifunga waya chombo ili iwe na mawasiliano ya uhakika , na ikitokea cha kutokea inavutwa juu chap ?
 
Mimi pia nimejiuliza hili swali , kilomita 4 au 5 mbona ndogo sana kuifunga waya chombo ili iwe na mawasiliano ya uhakika , na ikitokea cha kutokea inavutwa juu chap ?
nikiwaza hili naona wazungu hawajatuacha mbali sanaaaa kiteknolojia
 
Sasa ikiibuka si ndo hewa yenyewe we mbwiga.lazima mfanye overhaul mle ndani, taka zote , kinyesi, usafi mkubwa mara 1-2 miezi sita
Ndio ijazwe tena chakula na vinywaji upya .
Mnazama chini tena.
Mwendawazimu wewe,eti kumwaga kinyesi!Nimekwambia changamoto kubwa ni chakula!Wakiamua wanaweza hata kubwaga kinyesi baharini!Nuclear submarine inaweza kaa hadi miaka 20 bila refueling!Issue ni chakula tu kwa crew members!
Sasa tueleze,ikiibuka,hiyo hewa inasaidia nini labda!
 
Hiyo submarine ya kariakoo fala wewe.
Nchi za watu sheria yote ya mazingira lazima ifuatwe.
Hakuna kutupa taka yoyote ndani ya maji.
Faini yake unaijua?
Nyie ndo mnakunyakunya ovyo kwenye michongoma huko mnazi mmoja.
 
upo sahihi kwenye kutupa taka yoyote ndani ya maji huwa naona hata meli pale bandarini zinakuja na taka zake
 
Hapa unaonesha ufinyu wako wa akili!Yaani umekosa kabisa focus na kuelewa hoja!Unajua maana ya limitations wewe?Ikitokea vita ya dunia,submarine za kivita zinaweza kurisk kwenda kubwaga kinyesi eti kisa sheria ya mazingira?Huko vitani ukraine,wanajeshi wanaomba silaha na vyakula!Umesikia wapi wanaomba vyoo?Hawachafui mazingira?
 
upo sahihi kwenye kutupa taka yoyote ndani ya maji huwa naona hata meli pale bandarini zinakuja na taka zake
Hapo Australia hawa Wachina zaidi,
wanapigwa pingu daily.
Uvuvi haramu baharini ama kuingiza hatarishi wanyama feki.
Kule hawacheki na Nyani.
Anafungwa akitoka anapelekwa kwao.
 
Kuna Submarine Ukraine we mwehu kweli.
Hata kazi ya Submarine unaijua?
Pale kuna vifaru tu na magari ya kivita.
Ukiona meli ujue imeleta mzigo silaha.
Na sio often.
Nenda Balkan sea ndio utakuta hizo Submarine zimejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…