Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kuna mahala nimesema kuna submarine ukaraine?Bado akili yako haijakomaa ndio maana unashindwa kuelewa hoja!Nimekwambia unajua limitations wewe?Ukiambiwa taja limitations za nuclear submarine kukaa muda mrefu under water,utataja kinyesi na usafi?Uko timamu kweli?Kuna Submarine Ukraine we mwehu kweli.
Hata kazi ya Submarine unaijua?
Pale kuna vifaru tu na magari ya kivita.
Ukiona meli ujue imeleta mzigo silaha.
Na sio often.
Nenda Balkan sea ndio utakuta hizo Submarine zimejaa
Ndio maana nikakwambia,ikitokea vita ya dunia,hizo submarine zitakuja surface ili kwenda kudump kinyesi in the middle of operation?
Akili yako haijakomaa,usishupaze shingo!