Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

Ili kuwe na heshima ni bora US na washirika wake wafanye ambush kwa kumtoa Putin na kumshambulia silaha zake maeneo yote Duniani Ili kuzuia kuweza kujibu, vinginevyo watakuwa too late.

Sifagilii vita by the way.
Haiwezekani.Russia sio Tanzania anasilaha ya kuwapiga hao wote.
 
Kwenye ambush kwa nini isiwezekane? Kwani intelligence agencies zina Kazi gani hadi zisijue silaha ziliko.

Mbona wewe unaweza kujua
Wewe silaha za Tanzania Tu ni ngumu kuzijua zilipo alafu kuhusu intelligencia warussia hapo ndo nyumbani mpka Rais wao alikuwa huko.kwa kifupi Vita vya hawa ni mwisho wa dunia.
 
Mrusi yeye habweki yeye ni vitendo tu... halafu akiulizwa anajibu sina ugomvi na mtu.

Ogopa sana mtu anayefanya vitendo kimya kimya maana hujui amejiandaa vipi.

USA na NATO hawana uwezo wa kuzuia alichokipanga Mrusi kamwe wataishia kubweka tu.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji16]
 
Hawezi wakati ndio kaishaweza [emoji16][emoji16][emoji16] alipeleka TU-bomber VENEZUELA wakat wanamsumbua Maduro seuze muda huu niswala lawakati tu mashine zinatia nanga HAVANA na CARACAS
Halafu hawa watu huwa hawajifunzi kwa matukio yaliyopita, wakati Russia inazuia mapinduzi ya kumng'oa Maduro walikuwa wapi !?
 
Sio rahisi kuiona,,, usidhani huwahawatafitani humo chini ya maji, wanatafutana sana shida nihuwezi kuiona, labda kwa bahati sana,,,, bahari ile ni kubwa sana
Eti nyambiz ya Russia ipo pwani ya USA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]***** dakika ziro anapasuka
 
Wabongo kwa uongo&unazi tu,tumevuka mipaka jamani.
 
Thubutu,Russia hana jeuri hiyo. Mbona analilia mazungumzo wakati Marekani hataki,Russia kashaambiwa atie mguu Ukraine ndio atajua kuwa hajui.
nakasema hatatia mguu kama UKRAINE haitajiunga na NATO
kama NATO wanawake kweli waiunge UKRAINE na NATO
 
Ili kuwe na heshima ni bora US na washirika wake wafanye ambush kwa kumtoa Putin na kumshambulia silaha zake maeneo yote Duniani Ili kuzuia kuweza kujibu, vinginevyo watakuwa too late.

Sifagilii vita by the way.
eti wafanye ambush umeskia SOMALIA ile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye ambush kwa nini isiwezekane? Kwani intelligence agencies zina Kazi gani hadi zisijue silaha ziliko.

Mbona wewe unaweza kujua
agencies wanazo pekeao[emoji4] hizo hizo agencies ndio zilishindwa kutambua kama jamaa wanataka kupita na CRIMEA
wajaribu kama RUSSIA unaona ni DJIBOUTI
 
Blah blah
 
USA anazo nyingi tu huko Black Sea l, Russia anataka atumie muda huu wa winter anajua joto likirudi USA atapeleka nyambizi karibia na Moscow
 
USA anazo nyingi tu huko Black Sea l, Russia anataka atumie muda huu wa winter anajua joto likirudi USA atapeleka nyambizi karibia na Moscow
Kwa hiyo mnasinginzia kwamba mnasubiri joto.
Russia ikifika mwezi April lazima aondoke tu
 
Hamna kitu kinanichekeshaga, kama kuona mTanzania alieko bumbuli tanga. anajua siri za jeshi na anashauri jeshi la Urusi nini chakufanya. Tanzania tumetisha hatuwezi ata kutengeneza toothpick lakini tunayajua manyambiz ya urus na marekan kama tumeyatengeneza sisi.

Tukiitwa shithole tunalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…