Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Putin hapendag ufala hata siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahahah marekani ataomba mazungumzo halafu ataacha ukraine wajibebe[emoji1787]Wakubwa lazima watarudi mezani la sivyo Ukraine inabebwa nzimanzima...!
Sawa kwa hiyo habari za kuaminika zote hutokea nchi za magharibi,ambazo huwa sio propaganda.Chanzo chako cha habari ni hii link hapa chini na hakuna chanzo kingine...na hiyo ni site ya warusi, hivyo bila shaka ni propaganda tu hizo
![]()
Three Russian nuclear submarines deployed off US coasts
The Russian nuclear submarines on duty off the coasts of the United States will thus be able to respond to any act of aggression immediately.english.pravda.ru
Nimecheka SanaHawa wakubwa bora warudi mezani tu, mwisho wabonyeze batani ya kuelekeza Nyuklia Afrika.
Shihi kabisajamani muelewe kwamba kuna bahari ya kimataifa(bahari huru),mtu yeyote anaweza peleka meli zake,hata USA ana meli zake huko china ukanda wa bahari huru,hata urusi ana nyambizi huko USA,katika ukanda wa bahari huru,miaka mingi tu huwa zina survey huko..
Unaumia ukitokea wapiNdo akili za wavaa makobaz habar hii kaileta yeye tu dunia nzima hawajaandika[emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa kwa hiyo habari za kuaminika zote hutokea nchi za magharibi,ambazo huwa sio propaganda.
Kumbu kuwa hai maanishi marekeani hawajaweka nyambizi stand by lazma na marekani atafanya hivyo kwenye eneo lake la maji na hivyo hivyo kila hatua yeyote atakae chukua na mwenzake hivyo, hizi ni military tactics n procedures.TUSUBIRI NANI ATATUNGULIWA WA KWANZA KATI TA UKRAIN, AMERICA NA URUSI, HII NDO HABARI mengine ni nyimbo za kawaidaHali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani.
Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya Urusi juu ya mzozo wa Ukraine na Urusi.
Russian nuclear submarines already on duty off US coasts against the backdrop of the US's outrageously aggressive attitude towards Russia, it was reported that at least two Russian nuclear submarines with nuclear weapons on board could already be deployed off the coast of the United States.
View attachment 2103113
According to unconfirmed reports, one of the Russian submarines is located near the east coast of the United States, while the second one is off the west coast.
Presumably, another Russian submarine could be staying in Arctic waters.
Tensions in the relationship between the United States and Russia are reaching a climax. Russia took measures to try to solve the crisis through diplomacy, but the United States prefers to turn to increasingly aggressive measures instead by building up NATO troops in Eastern Europe, closer to the Russian borders.
The Russian nuclear submarines on duty off the coasts of the United States will thus be able to respond to any act of aggression immediately.
"The Russian submarines can presumably be located off both the western and the eastern coasts of the United States. Given their stealthiness, the Pentagon may not even be aware of their whereabouts. It is more than likely that another Russian submarine is staying in the Arctic, deep under the ice,” Sina Military publication said.
It is impossible to either confirm or deny these reports today. Russian nuclear-powered submarines with nuclear weapons on board are indeed on duty both in the Pacific and in the Atlantic Ocean. They are probably located a thousand kilometers off the US coast, Avia propublication reports.
Russia's nuclear submarine with 160 nukes on board off US coast
Unadhani Urusi kama kweli wamepeleka hizo nyambizi huko America wangependa dunia ijue au ingekua ni siri yao?Wewe unavyoona habari mzito kama hiyo, mtandaoni unapata source ni moja tu?
Pia hakuna coverage yoyote toka vyombo vya habari vikubwa kama BBC, CNN, SkyNews,Rai,CCTV etc
Unadhani Urusi kama kweli wamepeleka hizo nyambizi huko America wangependa dunia ijue au ingekua ni siri yao?
hao unaotaka watoe covarage ndio walosema saddam anasilaha za sumu ulishawahi kuzionaWewe unavyoona habari mzito kama hiyo, mtandaoni unapata source ni moja tu?
Pia hakuna coverage yoyote toka vyombo vya habari vikubwa kama BBC, CNN, SkyNews,Rai,CCTV etc
Yap, wanaweza wasizione, hata crisis ya wakati hule Russia wameweka makombora ya nyukilia Cuba, kulikuwa na nyambizi za kirusi zilikuwa chini kabisa ya bahari, wakisubiri order wapige marekani, kipindi hicho ndo kungetokea Vita kuu ya tatu ya dunia, na hiyo ndo ilipelekea hata John Kennedy raisi ya America kupigwa risasi kichwani na watu wake ndani ya system ya CIA. Aliyemupiga risasi naye alipigwa risasi asitoe Siri mpaka leo imebaki conspiracy theories za kuuwawa kwake.Taarifa za uongo, US siyo Somalia uwapelekee nyambizi afu wakuangalie tu, kichekisho nyingine ni ati US hawawezi kuziona.
Thubutu,Russia hana jeuri hiyo. Mbona analilia mazungumzo wakati Marekani hataki,Russia kashaambiwa atie mguu Ukraine ndio atajua kuwa hajui.Wakubwa lazima watarudi mezani la sivyo Ukraine inabebwa nzimanzima...!
Kitaumana huko lakn cc ndio tutaumia.Na zamu hii wamemwambia thubutu tu kuishambulia ukraine uone!!hadi sasa anapeleka tu vifaa, kila leo!!sasa na USA, ameshapeleka vifaa tayari!!!
Russia tayari yupo Ukraine indirectly.Marekani atataka mazungumzo Tu.kwanza ashaimegaga Ukraine na hakuna kitu USA ilifanya.Russia kwenda Ukraine ni kitu kidogo sana.Thubutu,Russia hana jeuri hiyo. Mbona analilia mazungumzo wakati Marekani hataki,Russia kashaambiwa atie mguu Ukraine ndio atajua kuwa hajui.
Ili kuwe na heshima ni bora US na washirika wake wafanye ambush kwa kumtoa Putin na kumshambulia silaha zake maeneo yote Duniani Ili kuzuia kuweza kujibu, vinginevyo watakuwa too late.Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani.
Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya Urusi juu ya mzozo wa Ukraine na Urusi.
Russian nuclear submarines already on duty off US coasts against the backdrop of the US's outrageously aggressive attitude towards Russia, it was reported that at least two Russian nuclear submarines with nuclear weapons on board could already be deployed off the coast of the United States.
View attachment 2103113
According to unconfirmed reports, one of the Russian submarines is located near the east coast of the United States, while the second one is off the west coast.
Presumably, another Russian submarine could be staying in Arctic waters.
Tensions in the relationship between the United States and Russia are reaching a climax. Russia took measures to try to solve the crisis through diplomacy, but the United States prefers to turn to increasingly aggressive measures instead by building up NATO troops in Eastern Europe, closer to the Russian borders.
The Russian nuclear submarines on duty off the coasts of the United States will thus be able to respond to any act of aggression immediately.
"The Russian submarines can presumably be located off both the western and the eastern coasts of the United States. Given their stealthiness, the Pentagon may not even be aware of their whereabouts. It is more than likely that another Russian submarine is staying in the Arctic, deep under the ice,” Sina Military publication said.
It is impossible to either confirm or deny these reports today. Russian nuclear-powered submarines with nuclear weapons on board are indeed on duty both in the Pacific and in the Atlantic Ocean. They are probably located a thousand kilometers off the US coast, Avia propublication reports.
Russia's nuclear submarine with 160 nukes on board off US coast
Eti hali ya usalama wa dunia! Kwan America na Urusi ndo dunia? Hicho ni kipande tu cha dunia ndo hakiko ktk usalamaHali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani.