FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Wewe unafikiri ni kwanini nimekuuliza leo?Swali lako halina maana kuuliza leo, ungeuliza kipindi tuna huo mjadala ningekuelewa.
Pia namna ulivyouliza kana kwamba nilitakiwa kuamini Urusi ingevamia Ukraine kwa kuwa Marekani imesema hivyo.
Leo ungeuliza kwanini sikuamini Urusi ingeivamia Ukraine licha uwingi wa majeshi yake yaliyokuwepo mpakani na Ukraine? Hili swali linapanua mjadala.
Ningekuuliza mapema zaidi pia ungesema nakulazimisha kuamini maneno ya Marekani kabla ya matokeo.
Swali langu lina maana as long as matokeo ya kile ambacho hukuamini yameshaonekana na yanaendelea kuonekana hivi sasa.