Nyandu tozzy na group lako, mnaenda South Africa kila siku, kwani mnafanya biashara gani?

Kuna Tetesi kua kundi hili hili linampoteza blue a.k.a byser kuna ukweli wowote hapo ?maana Jamaa ana kipaji na watu wengi wenye vipaji wamepotea kupitia hii kitu ya sembe mwenye clue atusaidie
 
Kuna Tetesi kua kundi hili hili linampoteza blue a.k.a byser kuna ukweli wowote hapo ?maana Jamaa ana kipaji na watu wengi wenye vipaji wamepotea kupitia hii kitu ya sembe mwenye clue atusaidie


Mtu mzima na akili zake kudai anapotezwa na wanaume wenzie ni madai ya kifala. Kila mtu akishafikisha umri wa miaka 18 anakuwa responsable na maisha yake mwenyewe
 
Itakuwa wanaenda kufanya show
 
Duuuuuuh.... Aiseeee
 
Hivi nyoka hula unga?
 
Huwa najiuliza hili kundi BOB NA MICHARAZO wako kama 10 hivi ni promoter gani anaweza kuwalipa?! Na sijawahi sikia show yao ikitangazwa! KUMBE NI WAZE WA KUVUKA BODA! WAKITUMIKA KAMA PUNDA! alaah! nilikuwa sijui ati
 
Hii ndo kazi yako kufuatilia watu? Kwanini usitumie muda wako kuangalia suluhu la maadui wa nchi yetu alafu ukaishauri serikali? Wenzetu wapo busy kuvumbua vitu ili kurahisisha maisha ya binadamu sisi tupo busy na umbea. Kweli mmelaaniwa
 
Hatari sana.... siku unarudi home unakutana na video iliyorekodiwa ukila mambo na watu wanashuhudia.... daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…