Nyandu tozzy na group lako, mnaenda South Africa kila siku, kwani mnafanya biashara gani?

Nyandu tozzy na group lako, mnaenda South Africa kila siku, kwani mnafanya biashara gani?

umeongea kwa code ila nimekuelewa sana, kiukweli hali inasikitisha
Nyandu iko wazi ni bingwa wa kufuga nyoka hasa chatu wa bongo fleva na safari za SA ni kufuata chakula cha nyoka wake anawapenda sana nyoka wake lazima awe busy kufuata chakula.
Blue amshukuru Mungu alikimbia akaacha kua mfugo ila mtoto David naona kufugwa kunamkolea soon tutaanzisha thread hapa alafu Kino inajua kua dogo ni mfugaji ila anachekewa.

aim for the stars
 
Back
Top Bottom