Nyandu tozzy na group lako, mnaenda South Africa kila siku, kwani mnafanya biashara gani?

Haiwezekani kupanda ndege kwenda South Africa kila siku. Labda anafanyakazi Ukonga au Gongo la Mboto we ukimuona Nyerere Road kila siku unafikiri anaenda airport.
Uwezo wako wa kufikiria una matatizo wallah
 
Is it legal mkuu?
 


Swala si kuangalia maisha ya watu.. Kama mfumo wa maisha yako katika utafutaji wa riziki yako unaleta athari kwa jamii yetu hatuwezi kukaa kimya....Hawa waliotajwa hapa ni Wauza Unga Kinondoni nzima inajua na tena Huyo Mchafu aliyetajwa ni kibaraka mbona maboss zake amewaacha hapa ndio naona mkuu wa mkoa wetu ameongozwa na mizuka na si kufuata ripoti halisi
 
-Makonda Awachunguze B.O.B Clique yote na Pia Amchunguze Tajiri Mtata Kama Salaah ambaye ni Rafiki Yake.

Kaka umenena..tena hapa B.O.B click inapatikana bhangi iliyochanganywa na Unga so wale wadada zetu poa wa maeneo ya kinondoni wanaopenda kuvuta bhangi wanazipenda zile zinazopatikana B.O.B click na wengi wamekwishatumbukia kwenye matumizi ya unga na wamekuwa mateja hawana tena mvutoo...Kwa ushahidi atafutwe Shamimu na Mary Maarufu saana pale Masai club
 
Anafanya kazi kama anayofanya diamond,mbona huulizii diamond kila mara na group lake wanakwea pipa?
 
-Makonda Awachunguze B.O.B Clique yote na Pia Amchunguze Tajiri Mtata Kama Salaah ambaye ni Rafiki Yake.
Yule mrefu anayekaa tbt ndy tajiri Yao Kna nyandu makonda alimtaja Jamaa annaitwa ch..ch,muuza poda kitambo sana

Ova
 
Wanaume wa mikoan tulien huyu jamaa ni bingwa wa dawa ya kulevya
 
Money laundering at work.
MTU anauza ngada ila anatafuta biashara Nyingine (kama maduka ya nguo nk) ya kuzugia na anaonesha uchapakazi wote. Fedha anayoipata kwenye ngada anataka nyinyi muhisi ni toka zile zinazotambuliwa na TRA.
 
Duh! Huyo nyandu mbona kwenye hiyo picha anaonekana ana chuchu saa sita!!!??
 
Waacheni watu wapige mishe zao, sio mnawazonga zonga. Wengine wivu tu umewajaa, kazi kufuatilia maisha ya watu.
 
Waacheni watu wapige mishe zao, sio mnawazonga zonga. Wengine wivu tu umewajaa, kazi kufuatilia maisha ya watu.
Ngoja itoke Siku am supply unga ndg yko kwa ajili ya matumizi.....hapo ndy utaelewa

Ova
 
bado upo South?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…