Nyani haogopi mwanamke wakikutana porini je wajuwa kile kitatokea katika safari ya porini?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari.

Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph.

Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi wameumiza sana watu na wamejeruhi sana wanawake kiasi wapo walio poteza maisha kwa kichapo cha manyani.

Nyani hawa kwa ukorofi wao hata nyumbani wakati mwingine wakijuwa yupo mwanamke basi watakuja nakufanya fujo na kujeruhi watu ila ajabu nimoja pakiwa na mwanaume hata kama mtoto yatakaa mbali na nyumba yakiamini kuna ulinzi.

Hii siri ilinifanya kukaa nakumuliza Babu yangu siri yakwanini alipenda nimsindikize mam na dada zangu wakati mwingine nikitamani kwenda mtoko naye aliniambia baki na mam ulinde nyumba.

Babu akavuta kiko chake nakuanza kunisimulia. Mjukuu wangu mtoto wakiume ni lulu hata akiwa mjinga anabaki kuwa mlinzi wa familia. Mtoto wakiume ameumbwa kwa utisho wakimungu na ndio maana mjukuu wangu napenda uwasindikize ndugu zako au ubaki nyumbani kulinda nyumba. Kweli ni mdogo ila kama beberu anavyo toa harufu maadui wabaya wakijuwa yupo mwanamme huwogopa kuitisha familia au kuidhuru.

Unaona kovu la jicho la mama yako ninyani walimshambulia akiwa anatafuta kuni akiwa peke yake hana kiongozi mtoto wakiume ila kama sio ukaidi asingekuwa chongo. Siku hiyo alienda porini asubuh na nikamshauri muende wote akakataa nahayo ndio madhara yake na toka siku hiyo anaenda na wewe au mm kuepuka madhara aliyapata.

Mjukuu wangu nitafurahi kama utakumbuka mwanamke akiendaporini basi aende na mtoto wskiume kuepusha hasara ataipata kwa kwenda mwenyewe. Nayni hamuheshim mwanamke hata akiwa na silaha ila anamuheshim mtoto mdogo wakiume akimfukuza kwa kijiti shiiii shii... na atakimbia...

Nyani ametuzidi maarifa na ndio maana Mungu akasema watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Basi na kwakuwa mmenikataa na Mimi nimewakata.

View: https://m.youtube.com/watch?v=on5mWZVQjRE
 
Point kubwa sana.

Ngoja tuone kama tutavuka salama,maana maana kwa wakati huu tuna udhuru tunawaza kujitetea maana kulikua hakuna namna mwanamke apite mwenywe porini.

Ila mwaka huu ndio ule mwisho wa udhuru, hatuna la kujitetea tena baada ya 10/2025.
 
Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari.

Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph.

Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi wameumiza sana watu na wamejeruhi sana wanawake kiasi wapo walio poteza maisha kwa kichapo cha manyani.

Nyani hawa kwa ukorofi wao hata nyumbani wakati mwingine wakijuwa yupo mwanamke basi watakuja nakufanya fujo na kujeruhi watu ila ajabu nimoja pakiwa na mwanaume hata kama mtoto yatakaa mbali na nyumba yakiamini kuna ulinzi.

Hii siri ilinifanya kukaa nakumuliza Babu yangu siri yakwanini alipenda nimsindikize mam na dada zangu wakati mwingine nikitamani kwenda mtoko naye aliniambia baki na mam ulinde nyumba.

Babu akavuta kiko chake nakuanza kunisimulia. Mjukuu wangu mtoto wakiume ni lulu hata akiwa mjinga anabaki kuwa mlinzi wa familia. Mtoto wakiume ameumbwa kwa utisho wakimungu na ndio maana mjukuu wangu napenda uwasindikize ndugu zako au ubaki nyumbani kulinda nyumba. Kweli ni mdogo ila kama beberu anavyo toa harufu maadui wabaya wakijuwa yupo mwanamme huwogopa kuitisha familia au kuidhuru.

Unaona kovu la jicho la mama yako ninyani walimshambulia akiwa anatafuta kuni akiwa peke yake hana kiongozi mtoto wakiume ila kama sio ukaidi asingekuwa chongo. Siku hiyo alienda porini asubuh na nikamshauri muende wote akakataa nahayo ndio madhara yake na toka siku hiyo anaenda na wewe au mm kuepuka madhara aliyapata.

Mjukuu wangu nitafurahi kama utakumbuka mwanamke akiendaporini basi aende na mtoto wskiume kuepusha hasara ataipata kwa kwenda mwenyewe. Nayni hamuheshim mwanamke hata akiwa na silaha ila anamuheshim mtoto mdogo wakiume akimfukuza kwa kijiti shiiii shii... na atakimbia...

Nyani ametuzidi maarifa na ndio maana Mungu akasema watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Basi na kwakuwa mmenikataa na Mimi nimewakata.
Mfumo dume uliokomaa kichwani kwako na mifano isiyo na uhalisia.....

Wewe MISOGYNYIST unatesekea kutokea wapi ?!!

Taifa limejaa think tanks wanaoona kuwa nchi iko vyema chini ya hao unaowabeza na kuwakebehi.....

#Ni yuleyule pilot wetu superwoman!
 
Huenda chadema wasimsimamishe mgombea wa nafasi ya urais badala yake wakakomaa na nafasi za wabunge .

Uwezekano wa kushinda kwa kishindo kwa mama Samia upo
 
Kwa hizi chaguzi za kishenzi, mgombea wa ccm anapanga atangazwe kwa kura ngapi, na hakuna anayejali matokeo kwenye box la kura.
 
Mfumo dume uliokomaa kichwani kwako na mifano isiyo na uhalisia.....

Wewe MISOGYNYIST unatesekea kutokea wapi ?!!

Taifa limejaa think tanks wanaoona kuwa nchi iko vyema chini ya hao unaowabeza na kuwakebehi.....

#Ni yuleyule pilot wetu superwoman!
Mkuu.usimzodoe mleta mada kuna ukweli hapo! Juzi kati shemeji yangu ameshambuliwa na tumbili (Siyo Kafulila). Tumbili hawa nao kumbe hatari jamani. Wakitoka msituni kama 50 hizi wakamzingira na kuanza kumshambulia alipojaribu kukimbia wakamtega na Mikia yao akaanguka chini, cha ajabu alipotokea kijana wa kiume wote wakatokomea msituni!
 
Mfumo dume uliokomaa kichwani kwako na mifano isiyo na uhalisia.....

Wewe MISOGYNYIST unatesekea kutokea wapi ?!!

Taifa limejaa think tanks wanaoona kuwa nchi iko vyema chini ya hao unaowabeza na kuwakebehi.....

#Ni yuleyule pilot wetu superwoman!
Kuna mahali pount yako inahusiana na maelezo yangu?
 
Mwanamke always atakuwa chini ya mwanaume hiyo ni nature
Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari.

Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph.

Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi wameumiza sana watu na wamejeruhi sana wanawake kiasi wapo walio poteza maisha kwa kichapo cha manyani.

Nyani hawa kwa ukorofi wao hata nyumbani wakati mwingine wakijuwa yupo mwanamke basi watakuja nakufanya fujo na kujeruhi watu ila ajabu nimoja pakiwa na mwanaume hata kama mtoto yatakaa mbali na nyumba yakiamini kuna ulinzi.

Hii siri ilinifanya kukaa nakumuliza Babu yangu siri yakwanini alipenda nimsindikize mam na dada zangu wakati mwingine nikitamani kwenda mtoko naye aliniambia baki na mam ulinde nyumba.

Babu akavuta kiko chake nakuanza kunisimulia. Mjukuu wangu mtoto wakiume ni lulu hata akiwa mjinga anabaki kuwa mlinzi wa familia. Mtoto wakiume ameumbwa kwa utisho wakimungu na ndio maana mjukuu wangu napenda uwasindikize ndugu zako au ubaki nyumbani kulinda nyumba. Kweli ni mdogo ila kama beberu anavyo toa harufu maadui wabaya wakijuwa yupo mwanamme huwogopa kuitisha familia au kuidhuru.

Unaona kovu la jicho la mama yako ninyani walimshambulia akiwa anatafuta kuni akiwa peke yake hana kiongozi mtoto wakiume ila kama sio ukaidi asingekuwa chongo. Siku hiyo alienda porini asubuh na nikamshauri muende wote akakataa nahayo ndio madhara yake na toka siku hiyo anaenda na wewe au mm kuepuka madhara aliyapata.

Mjukuu wangu nitafurahi kama utakumbuka mwanamke akiendaporini basi aende na mtoto wskiume kuepusha hasara ataipata kwa kwenda mwenyewe. Nayni hamuheshim mwanamke hata akiwa na silaha ila anamuheshim mtoto mdogo wakiume akimfukuza kwa kijiti shiiii shii... na atakimbia...

Nyani ametuzidi maarifa na ndio maana Mungu akasema watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Basi na kwakuwa mmenikataa na Mimi nimewakata.
 
Ilo la nyani kuonea wanawake ni kweli,hata azuge kuvaa kiume bado wanajua... nadhani kuna harufu wana sense.
Zamani nyumba za jirani wanaume wa familia fulani wanaume wote wakisafiri,hata kama wamebaki wanawake wengi lazima watakuja kuomba mtoto mmoja wa kiume akalale kwenye hio nyumba...sijajua issue ni nini hasa
 
Mfumo dume uliokomaa kichwani kwako na mifano isiyo na uhalisia.....

Wewe MISOGYNYIST unatesekea kutokea wapi ?!!

Taifa limejaa think tanks wanaoona kuwa nchi iko vyema chini ya hao unaowabeza na kuwakebehi.....

#Ni yuleyule pilot wetu superwoman!
Unaota ndoto wewe..kuna think tanks hapa..au jua kali wachumia tumbo..
 
Huu Uzi ni Kwa wenye D mbili sisi tusionazo tupite kule 🚶🚶🚶

Kazi ya fasihi 💪
 
Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari.

Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph.

Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi wameumiza sana watu na wamejeruhi sana wanawake kiasi wapo walio poteza maisha kwa kichapo cha manyani.

Nyani hawa kwa ukorofi wao hata nyumbani wakati mwingine wakijuwa yupo mwanamke basi watakuja nakufanya fujo na kujeruhi watu ila ajabu nimoja pakiwa na mwanaume hata kama mtoto yatakaa mbali na nyumba yakiamini kuna ulinzi.

Hii siri ilinifanya kukaa nakumuliza Babu yangu siri yakwanini alipenda nimsindikize mam na dada zangu wakati mwingine nikitamani kwenda mtoko naye aliniambia baki na mam ulinde nyumba.

Babu akavuta kiko chake nakuanza kunisimulia. Mjukuu wangu mtoto wakiume ni lulu hata akiwa mjinga anabaki kuwa mlinzi wa familia. Mtoto wakiume ameumbwa kwa utisho wakimungu na ndio maana mjukuu wangu napenda uwasindikize ndugu zako au ubaki nyumbani kulinda nyumba. Kweli ni mdogo ila kama beberu anavyo toa harufu maadui wabaya wakijuwa yupo mwanamme huwogopa kuitisha familia au kuidhuru.

Unaona kovu la jicho la mama yako ninyani walimshambulia akiwa anatafuta kuni akiwa peke yake hana kiongozi mtoto wakiume ila kama sio ukaidi asingekuwa chongo. Siku hiyo alienda porini asubuh na nikamshauri muende wote akakataa nahayo ndio madhara yake na toka siku hiyo anaenda na wewe au mm kuepuka madhara aliyapata.

Mjukuu wangu nitafurahi kama utakumbuka mwanamke akiendaporini basi aende na mtoto wskiume kuepusha hasara ataipata kwa kwenda mwenyewe. Nayni hamuheshim mwanamke hata akiwa na silaha ila anamuheshim mtoto mdogo wakiume akimfukuza kwa kijiti shiiii shii... na atakimbia...

Nyani ametuzidi maarifa na ndio maana Mungu akasema watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Basi na kwakuwa mmenikataa na Mimi nimewakata.
Nyani haogopi mwanamke shamba maindi yataisha maana tumbili watakula kwa raha zao
 
Back
Top Bottom