Nyani haogopi mwanamke wakikutana porini je wajuwa kile kitatokea katika safari ya porini?


Kama wewe ni mwanamke Nenda porini uje utupe ushuhuda; na Kama wewe ni mwanaume peleka mawazo yako kwenye mambo ya maendeleo!
 
nilichojiuliza, kwenye mambo ya kijeshi sio kila mtu huwa anapiga picha, picha zinapigwa na wanajeshi na kutunzwa na wanajeshi. kwa hiyo hata hiyo ilipigwa na mwanajeshi nakutinzwa nao, na ndio wameamua kwa makusudi kabisa kuisambaza ili kuikebehi Tanzania. ni jambo lililofanywa kwa utaratibu wa kupangwa na kwa makusudi na kuna kitu wanalenga.

nitashangaa JWTZ kama hawatatoa tamko kwa hawa wanyarwanda kwa kudhalilishwa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…