Nyani Ngabu help me please


Mkuu mbona povu jingi sana? Hujaelewa,kausha. Acha kulalama.
 
Lengo la lugha ni kuwasiliana. Mtu Mwenye akili timamu anatambua kiwango cha lugha kinachotumiwa na Jamii anayowasiliana nayo.
Sasa hapo yeye anawasiliana na watu gani? Mahoka? Au kichaa kimemuanza!!?

Easy fella. Ndio umepaniki kiasi icho?
 

Povu litatoka sana leo. Kama amekuboa,mtafute Ras Simba.

Wacha nikiri kwanza prof. katukomesha wengi hapa kisha baada ya hapo anaetaka kumkosoa kuwa anatusimangia umahiri wake wa kujua lugha aendelee na kuna wengine humu wamemtukana prof. kisirisiri lakini kama kutukoga basi katukoga wengi Shukran prof.
 
Ujuzi mwingi huondoa maarifa.Kichwa chake amekijaza maneno magumu ya kiingereza,lakini amekosa maarifa ya namna nzuri ya kuwasiliana na Watu wa kawaida.Msomi huyu amekuwa mjinga.

Relax man. Nenda kwa Ras Simba,vyote vinawezekana hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…