Nyani Ngabu help me please

Nyani Ngabu help me please

Mwafrika anakwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na hakuna kingine, Mzungu mwenye lugha yake asingeandika hivyo! Na ndiyo maana hakuna maendeleo isipokuwa ya kiingereza tu labda, hatuwezi kujenga Madaraja, nyumba imara, kutibu magonjwa wala hata kula chakula bora tu, ila tunaweza misamiati ya kiingereza!

Mkuu mbona povu jingi sana? Hujaelewa,kausha. Acha kulalama.
 
Lengo la lugha ni kuwasiliana. Mtu Mwenye akili timamu anatambua kiwango cha lugha kinachotumiwa na Jamii anayowasiliana nayo.
Sasa hapo yeye anawasiliana na watu gani? Mahoka? Au kichaa kimemuanza!!?

Easy fella. Ndio umepaniki kiasi icho?
 
Moja ya skill muhimu ya kuandika kwenye social media ni ujumbe wako ueleweke kwa urahisi na wasomaji na hatimae waweze kuchangia.

Na tatizo la kutumia bombastic words ni kupoteza meaning ya ujumbe. Una-focus kutumia maneno magumu uliyonayo zaidi ya kuandika ujumbe wenye kuleta maana.

Povu litatoka sana leo. Kama amekuboa,mtafute Ras Simba.

Wacha nikiri kwanza prof. katukomesha wengi hapa kisha baada ya hapo anaetaka kumkosoa kuwa anatusimangia umahiri wake wa kujua lugha aendelee na kuna wengine humu wamemtukana prof. kisirisiri lakini kama kutukoga basi katukoga wengi Shukran prof.
 
Ujuzi mwingi huondoa maarifa.Kichwa chake amekijaza maneno magumu ya kiingereza,lakini amekosa maarifa ya namna nzuri ya kuwasiliana na Watu wa kawaida.Msomi huyu amekuwa mjinga.

Relax man. Nenda kwa Ras Simba,vyote vinawezekana hivi.
 
Back
Top Bottom