Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Unakipaji cha mziki cha kutunga na kuimba?

Je unaweza kunisaidia japo kama una rafiki ana label ya mziki kuniunganisha ili nitoe nyimbo zangu?

Kama huna rafiki je unaweza kunisaidia japo kifedha ili nirekod japo nyimbo zangu mbili kama kianzio cha kunifanya nifike mbali zaid ili label kubwa ziweze kuniona na kunisign
 
Hapana mahondaw wangu... I object...
 
Swali gani?

Haya uliza tena maana huenda nilisahau.
Una kipaji chochote cha muziki kutunga na kuimba?

unarafiki yako yeyote mwenye rabel ya muzik uweze kunipigia pande asign?

Unaweza kunipa japo sapot ya kifedha niweze kurekod japo nyimbo zangu mbili?

Hayo maswali niliyokuuliza hapo sio ya utan maana mimi nataka msaada kweli
 
Una kipaji chochote cha muziki kutunga na kuimba?

Hapana, sina kabisa.

unarafiki yako yeyote mwenye rabel ya muzik uweze kunipigia pande asign?

Hapana, sina.

Wewe ni msanii?

Unaweza kunipa japo sapot ya kifedha niweze kurekod japo nyimbo zangu mbili?

Fedha kiasi gani?

Unaweza kunitumia sample ya kazi zako?

Hayo maswali niliyokuuliza hapo sio ya utan maana mimi nataka msaada kweli

Sawa hamna shida. Wewe fanya kama nilivyokuomba hapo juu.
 
Waoh very interesting...siamini kama nimesoma mwanzo mwisho...hongera@Nyani Ngabu kwa uandishi wa kiswahili fasaha na majibu mazuri ya kistaarabu[emoji122]
 
Ukiona unazungumzia sana mtu jua unamkubali mie sio wazamani sana humu katika watu wa ukweli humu if ni nyani ngabu,faiza fox,BAK, lala 1,mm,the bold , nifar ,dinzared, toka kipindi cha darhotwire kile long time we stunner sijui kama ulikuwepo kulikuwa hakuna smartphone zaidi ya internet cafee kipindi hicho
 
Dinzared ni nani? Mkuu
 
 
Hapana, sina kabisa.



Hapana, sina.

Wewe ni msanii?



Fedha kiasi gani?

Unaweza kunitumia sample ya kazi zako?



Sawa hamna shida. Wewe fanya kama nilivyokuomba hapo juu.
Ndiyo mimi ni msanii natunga na kuimba mwenyewe

Kuhusu sample bado sijalekod hata nyimbo moja labda nikutumie mistali ya nyimbo ambayo nimetunga

Kuhusu pesa doller miatatu inatosha kurekod nyimbo mbili


Itakua vizur sana ukinisaidia ndugu yangu maana hata mimi ni ngosha mwenzio wa mwanza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbn umetanguliza ukabila
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbn umetanguliza ukabila
Ili twende sawa ajue anayetaka kumusaidia ni ndugu yake, mbona nyie watu wa kaskazzin huwa mnaona gele sana juu ya ngoshas huwa mnashida gan na ngoshas hofu yenu ni nini juu yetu, mbona nyie ni wasomi sana kutushinda sisi ngoshas sasa mwatuogopa nini arifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…