Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Alokwambia mm wa kaskazini
 
Aisee hizo enzi sizikumbuki japokuwa nilianza kutumia JF tangu nikiwa primary
 
Maana kaandika utafikiri kapita rough road duuu hahahaha nawe si ni stunner
Afadhali langu lina-swaga... Hahahah sio hilo Dinzared.... Hahahahah jina utadhani web ya porn, DinzaRED....
 
Nyani Ngabu
Twende sasa maswali..
Unaichukuliaje Makapuku forum?
Una mpango wa kujiunga au kuchangia kule?
Mnatatizo gani kati ya wewe Bitoz..
 
Poa.



Siichukulii kivyovyote. Sijawahi hata kuifuatilia kivile...



Hapana. Kuna nini kwani huko?



Mimi sina tatizo naye.

Labda kama yeye ndo ana tatizo na mimi [kama ilivyo kwa baadhi ya watu humu].
Good Ngosha..
Mm hua tunachat sana fb basi tu huku ni ID fake..

Nyani..
Unafaidika nini kuwa platnum member ?
Muonekano wako ukoje kimbaombao/ kitambi au sixpack
 
Afadhali langu lina-swaga... Hahahah sio hilo Dinzared.... Hahahahah jina utadhani web ya porn, DinzaRED....
Unanitafutaa ee na mwezi mtukufu huu,,,hebu litamke vyema bana,,,
 
Stunter next time tunahitaji interview ya Bibie FaizaFoxy teh teh teh
 
Good Ngosha..
Mm hua tunachat sana fb basi tu huku ni ID fake..

Nyani..
Unafaidika nini kuwa platnum member ?
Muonekano wako ukoje kimbaombao/ kitambi au sixpack

Huwa unachat na mimi facebook?
 
Ndiyo.

Niliichomoa pete ya ndoa nikaitupa kichakani.

Halafu eti kesho yake nikaenda kuitafuta tena.

That was stupid and childish of me.

Ya kuchomoa pete na kutupa kichakani imenichekesha sana..BTW hongereni kwa mahojiano mubashara, very interesting!! Binafsi nikama nlikua nkiwaona live kwa tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…