interview nzuri sanaNaomba nitoe fursa ya watu wengine kuuliza maswali yao,
Ahsante sana Hommie, na uniwie radhi kwa maswali yangu mengi....
All in all Ahsante sana kwa time yako mkuu,
na ningependa isiishie hapa tu, bali na siku nyengine ukihitajika basi ujitolee zaidi ya leo.
Thanks alot....!!
Nyani Ngabu
Umeniwahi ujueNgabu ulishwahi kudate na mchuchu/wachuchu wa hapa JF? If yes, ilikuaje mlifikia wapi?
If no, why? Haujawahi kuvutiwa na wa hapa?
Basi kuwa mpole nilisongeshe.Umeniwahi ujue
Nyani Ngabu hongera sana kumpata kisura pamoja na kuyafurahia maisha,
Je unaweza kutuambia japo kidogo siri ya mafanikio yako?
Na unahisi vijana wengine labda wanakosea wapi hasa ambapo panawakwamisha?
Na katika harakati za kiutafutaji ni vitu gani umejifunza ambavyo unaweza kushea nasi japo kidogo?
Hapo pa chooni kumbe wengi hwa tunawaza aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safiii...
kwa mwanaume rijali hilo muhimu sana
Ngabu ulishwahi kudate na mchuchu/wachuchu wa hapa JF? If yes, ilikuaje mlifikia wapi?
If no, why? Haujawahi kuvutiwa na wa hapa?
Leo japo sijauliza ila hongera ngabu..na aliebuni haya mahojiano..Imagine unaingia chooni huku watu wanakuona unaingia chooni.....
Hapana aisee...sipendi kabisa.
Unatumia aina gani ya Passport, "Student, Visiting, Working au Personal Business ?Shukran jazilan.
Mimi napenda sana kula hususan vyakula vya kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Huwa natumia hela nyingi kwenda kwenye restaurants mbalimbali.
Sasa hivi nipo kwenye mood ya Korean barbecue.
Nashauri watu waijaribu Korean cuisine...
Pia napenda vitu vizuri vizuri na vyenye ubora, iwe magari, marashi, nguo, samani za nyumbani, na kadhalika.
Vizuri,Ndiyo, nimeshawahi.
Kuhusu nilifikia wapi au tulifikia wapi, hayo ni yetu binafsi.
Ahsante kwa swali lako [la kimtego 😀].
Ngoja nijipange nije nikuletee ng'ombe ili nimuoe kisura.... Inabidi niwe mkweo tu, au hauozeshi wala vumbi?Ahsante sana.
Yupo hapa pembeni yangu na anawapa Hi nyote.
Washafunga shule hivyo hana la kufanya zaidi ya kuniganda tu.
Wala hakuna siri ambayo wengine hamuijui.
Ila kwa manufaa ya mjadala naweza kusema ni mambo yafuatayo.
1. Bidii na nidhamu. Hapo kwenye nidhamu namaanisha kujizuia kufuja au kutumia vibaya hela zako. Ubahiri wa kibusara unahusika.
2. You become who you surround yourself with. Watu wanaokuzunguka kama hawana mbele wala nyuma basi nawe utaishia kuwa kama wao tu. Mimi napenda kuji surround na watu wachapa kazi, wenye nidhamu, na wenye maadili ninayoyapenda na yanayoendaa na yangu. Epuka sana kujihusisha na watu wenye 'crabs in the bucket mentality'.
3. A can-do attitude. Huwa sikubali kushindwa kirahisi kama jambo nikilivalia njuga. Huwa naamini naweza kufanya chochote kama nikizielekezea nguvu na akili zangu kwenye kitu.
4. Siogopi sana kukosea. Kukosea ni mwalimu mzuri sana kama una nia ya kujifunza toka kwenye makosa.
5. Nipo jasiri...huwa najisemea kimoyomoyo...kama flani kaweza kwa nini mimi nishindwe?
Nadhani wengi wanakosea sana hapo kwenye nidhamu. Huwa wanashindwa vita dhidi ya vishawishi na mwishowe wengine huishia hata kula hela ya mtaji.
Usiwe mwepesi wa kuamini watu na usiwe mwepesi wa kufanya maamuzi bila ya kufikiria kwa kina, mapana, na marefu.