Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
nimecheka hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bosi we ukiwa ugenini huwa unakata gogo kwa raha zako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimecheka hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja tukuulize maswali kwanzaKivipi yakoseshe ukosefu wa utulivu wa nafsi kwa baadhi ya member?
Kwani kuna mtu nimemtaja humu au kumfunulia faragha yake?
Hebu dadavua kidogo hapo, tafadhali kama hutajali...
HahaKweli niko busy[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unamfahamu nancy wa mitikisiko??
Nikuulize swalii?
mnugu, mlatina, mnaija, m-visiwani ama ?
We nyani ngabu huwa unajiunga kifurushi gani cha kukuwezesha kukaa online muda wote
HahahahaaaHahaaa yeah...nakumbuka wakati nipo college...siku moja hivi Ijumaa jioni nikitoka darasani naenda dorm...kuna hallway moja hivi ilikuwa na milango ya vio.
Sasa mimi akili yangu hata sijui ilikuwa wapi siku hiyo...nilipofika hapo kwenye milango mimi nikatembea tu utadhani hakuna milango na matokeo yake nikajibamiza uso hahahaa. Uzuri hakukuwepo na watu wengi ila alikuwepo mchuchu mmoja wa kizungu aliyeniona. Alinicheka sana aisee.
Oh yeah...niko mshamba kwenye mambo mengi tu.
Kwa mfano, mwaka juzi tu ndo nimeanza kuwa na smartphone.
Imagine mpaka mwaka 2015 nilikuwa natumia simu kama kitochi....
Asante kwa majibu murua NN.Hapana.
Hayo maneno kwa upande wangu yaliishia na huwa yanaishia hapa hapa.
Mimi huyo jamaa hata simjui kabisa.
Kama aliwahi kufuatwa na kutukanwa na mtu PM basi mtu huyo hakuwa mimi.
Kama yeye alidhani mimi ndiye niliyemfuata huko PM na kumtukana basi alidhani kimakosa.
Na uzuri ni kwamba angeweza tu kuwaambia mods kuwa katukanwa huko PM na mods wana uwezo wa kuangalia IP address ya mtu na nina uhakika wa 100% kuwa kama waliangalia ili kuona nani ndiye kamtukana hayo matusi huko PM basi waligundua kuwa haikuwa mimi.
As simple as that.
Kuna uzi niliusoma love connect nilicheka saana.Gari bovu linavutwa na gari zima.....siku zote gari bovu halikokoti bovu mwenzie.
Hahahha....kwakweli wala hautikisiki aisee.
Hahahahaha jamaa umewaza sana mkuu kwa watu ata hayo mavi hayabani ata wiki nakumbuka nimewai umwa tumbo kwa watu dah sitaki kukumbuka [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bosi we ukiwa ugenini huwa unakata gogo kwa raha zako?
Kule hujanijibu kule rudi haraka kabla hujajazwaHaha
Najua unachohofia. [emoji40]
Kuna kitu nimekumbuka "sura kama dole gumba aki pepo utaishia kuiona kwanguUliza tu.
Nilishakujibu angalia.Kule hujanijibu kule rudi haraka kabla hujajazwa
Asante kwa majibu murua NN.
Swali la mwisho kabisa.
Ni kitu/jambo gani ulishakutana nalo/wakati gani uliwahi kuwa mgumu kwako hapa jF? Kwanini?
Mwisho, wakongwe wengi naona I'd zao JF zimepoa na wengine wameondoka JF(au sijui wamebadili Id) je, unategemea kustaafu lini humu ndani? regard to age, etc.
Je una mpango gani wa kurejesha makazi yako nyumba Tanzania?Hapana simfahamu.
Ila najua huwa narushwa [natajwa] huko rahatupu...
Nahisi atakuwa ni member wa humu JF....
Hehehehe utakula za uso wewe,usiniharibie maisha yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishakujibu angalia.
Natamani interview yako. Siku hiyo Nitamcc hadi naniii TB.