Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Kivipi yakoseshe ukosefu wa utulivu wa nafsi kwa baadhi ya member?

Kwani kuna mtu nimemtaja humu au kumfunulia faragha yake?

Hebu dadavua kidogo hapo, tafadhali kama hutajali...
Ngoja tukuulize maswali kwanza
 
We nyani ngabu huwa unajiunga kifurushi gani cha kukuwezesha kukaa online muda wote
 
Hahahahaaa
 
Asante kwa majibu murua NN.

Swali la mwisho kabisa.
Ni kitu/jambo gani ulishakutana nalo/wakati gani uliwahi kuwa mgumu kwako hapa jF? Kwanini?

Mwisho, wakongwe wengi naona I'd zao JF zimepoa na wengine wameondoka JF(au sijui wamebadili Id) je, unategemea kustaafu lini humu ndani? regard to age, etc.
 
Gari bovu linavutwa na gari zima.....siku zote gari bovu halikokoti bovu mwenzie.
Hahahha....kwakweli wala hautikisiki aisee.
Kuna uzi niliusoma love connect nilicheka saana.

JF mnaweza kuwa na bwana/mke mmoja watu kumi huku wote mnataniana hapa.
 
Bosi we ukiwa ugenini huwa unakata gogo kwa raha zako?
Hahahahaha jamaa umewaza sana mkuu kwa watu ata hayo mavi hayabani ata wiki nakumbuka nimewai umwa tumbo kwa watu dah sitaki kukumbuka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na mimi nikuulize katika Maisha yako ya mahusiano ni mpenzi wako gan unamkumbuka? Na kwanini?
Na lingine je unaamini elimu ndo mkombozi wa maisha ya mtu???
 
Asante kwa majibu murua NN.

Hamna tatizo!

Swali la mwisho kabisa.
Ni kitu/jambo gani ulishakutana nalo/wakati gani uliwahi kuwa mgumu kwako hapa jF? Kwanini?

Kusema ukweli sijawahi kukutana na jambo lolote gumu humu na sijawahi kuwa na wakati mgumu. Hata siku moja.

Hiyo ni kwa sababu mambo ya humu huwa nayaacha yawe ya humu na huwa siyaruhusu yawe na athari katika maisha ya kweli huku uraiani.

Nikiruhusu mambo ya humu yawe na athari kwenye maisha yangu halisi nitakuwa kichaa.

Mambo ya humu mengi ni ya kufikirika tu. Mtu aniite mimi mzee, aniite shoga, aseme niko hivi au vile, hakutayafanya hayo yawe kweli kwa upande wangu.

Mwisho, wakongwe wengi naona I'd zao JF zimepoa na wengine wameondoka JF(au sijui wamebadili Id) je, unategemea kustaafu lini humu ndani? regard to age, etc.

Humu nako kuna kustaafu?

Nah...nilikuwepo toka mwanzo na nitakuwepo mpaka mwisho [mwisho wangu au wa JF].

I'm here to stay pal...
 
Hapana simfahamu.

Ila najua huwa narushwa [natajwa] huko rahatupu...

Nahisi atakuwa ni member wa humu JF....
Je una mpango gani wa kurejesha makazi yako nyumba Tanzania?
 
Nilishakujibu angalia.

Natamani interview yako. Siku hiyo Nitamcc hadi naniii TB.
Hehehehe utakula za uso wewe,usiniharibie maisha yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…