Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ulishawahi kutumia kipaji chako kuingiza mkwanja? Ni kipaji gani hiko?
Sidhani kama nina kipaji chochote kilicho spesho...
I'm just an ordinary guy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kutumia kipaji chako kuingiza mkwanja? Ni kipaji gani hiko?
duh, pole kwa mikasa mkuu,Oh yeah!
Majuto lazima yawepo aisee.
Kwa sababu, mara nyingi hizo one night stands zilitokea katika mazingira ambayo nilikuwa chini ya ushawishi wa pombe hususan katika mitoko ya kwenda klabu usiku.
Kwenye mazingira kama hayo akili inakuwa haifanyi kazi vizuri.
Kesho yake akili ikikurudia ndo unajiuliza...'what the hell was I thinking'?
Kuna wakati flani hivi nakumbuka kuna kademu kamoja hivi kalikuwa na meno ya papachi halafu dizaini kama yalikuwa yameoza hivi.
Katika hali ya kawaida wala nisingehangaika nako...lakini nilijikuta najihusisha nako na kesho yake nikaishia kupata strep throat.
Oh well...
Nice..!
je, elimu uliyoipata darasani inakusaidia?
Kwamfano ungepata nafasi ya kuanza upya husle zako (kuanzia shule ya upili) ungechagua kufanya vitu gani?
kwahiyo hapo ndio umenyamaza,duh!Hajui kitu huyo tunaojua tumenyamaza
Ooh, Good,Elimu niliyoipata darasani inanisaidia kwa kiasi chake.
Ila kwangu maisha haya ya kila siku nayo ni elimu [wengine huiita elimu dunia] tosha na naamini ndo elimu ya muhimu zaidi.
Kila siku najifunza. Najifunza kupitia wengine, najifunza kupitia makosa yangu, na hata kupitia humu JF najifunza pia.
Ningepata fursa ya kuanza upya shule bado ningechagua haya haya niyafanyayo sasa.
I trust my judgement a whole lot. It has never failed me.
duh, pole kwa mikasa mkuu,
Turudi kwenye masuala ya burudani, ipi ni starehe yako/zako kubwa kabisa,
na ni vitu gani ambavyo unatumia pesa nyingi kuvipata/kuvifanya?
Nyani Ngabu endapo siku utaamka asubuhi na kujikuta umepoteza kila kitu maisha na ukaambiwa uanze moja, kwa wakati huu utachagua kufanya kazi gani na kwenye nchi gani? Na unahisi utatumia muda gani kupata angalau nusu ya mafanikio yako ya sasa?
Ooh, Good,
ulishawahi kwenda/kulala kwenye nyumba ya ugenini?
Ni vitu gani ambavyo huwa kwakawaida hauvifurahii unapokuwa ugenini?
Ni uhuru gani ambao unahisi unaukosa pindi unapokuwa ugenini?
Hahahahahaha!!Oh yeah...mara nyingi tu.
Kutokuwa huru. Wakati mwingine huwezi kujua kama unachokifanya kinawapendeza au kuwachukiza wenyeji wako mwisho unaishia kuhisi hisi tu na kuanza kujistukia. I hate that.
Usafi wa hiyo sehemu hususan wa bafu, choo, jiko, na vyombo vya mezani kama vijiko, bilauri [sipendi kabisa kunywea maji bilauri za watu]. Nipo radhi nitumie paper plates na vijiko au uma wa plastiki kuliko silverware zao.
Kuwasha tivii na kuangalia nipendacho.
Kufungua jokofu muda wowote na kuchukua chochote kilichomo.
Kuoga navyotaka mimi. Nikiwa hapa kwangu naweza hata kumaliza dakika 45 naoga bafuni.
Kwa watu huwezi kufanya hivyo.
Kufua nako pia. Hapa muda wowote tu naweka nguo kwenye washer na dryer bila hofu yoyote ile.
Kujilaza popote pale...iwe sakafuni..kwenye kochi...kwenye futon....ukiwa kwa watu huwezi kujiachia hivyo.
Hata kwenda haja kubwa nako inabidi uende kwa kuwalia watu timing....sipendi kabisa aisee.
Hapa kwangu nikisikia tu mzigo unagonga hodi naenda bla hofu yoyote ile.
Imagine uko kwa watu halafu unabanwa mavi na choo kiko ndani ya nyumba karibu na jikoni....
Unaingia chooni halafu unashusha mzigo tena ule unaoambatana na makelele...noma sana yaani.
Halafu ukimaliza na kutoka unaanza kuombea asiingie mtu mwingine kabla harufu haijaisha...man...I hate that.
Hapo pa chooni kumbe wengi hwa tunawaza aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh yeah...mara nyingi tu.

Yup!
One night stands nishazipitia
Madada poa nao wanahesabika hapo?
Big up Ninja.Naomba nitoe fursa ya watu wengine kuuliza maswali yao,
Ahsante sana Hommie, na uniwie radhi kwa maswali yangu mengi....
All in all Ahsante sana kwa time yako mkuu,
na ningependa isiishie hapa tu, bali na siku nyengine ukihitajika basi ujitolee zaidi ya leo.
Thanks alot....!!
Nyani Ngabu