Hahahaaa. Basi achana nayo tu rafiki.No results found..... sasa sijui ni matatizo ya mtandao au simu yangu mbovu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahah! sawa rafikiHahahaaa. Basi achana nayo tu rafiki.
[emoji1] [emoji1] namsubiriUna uhakika? Basi ngoja aje utakiona cha moto
Naaam kamati ya ufundi
[emoji3][emoji3][emoji3] ebu niambie nije wapi akupe salaam zangu mbona mwenyewe ananiona haniambiiManga anakusalimia hebu toka huku kwa wadhunguu
Asante sana!Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote
Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue
Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Niweke mambo hadharani hapa?Ww babu lini mm nimekufata pm jaman
Nimekuita sijui hujaonaa[emoji3][emoji3][emoji3] ebu niambie nije wapi akupe salaam zangu mbona mwenyewe ananiona haniambii
MmmhNiweke mambo hadharani hapa?
Huo mguno veepee?Mmmh
Nawazooom tuuHuo mguno veepee?
Babu na wewe unaijua veepee?Huo mguno veepee?
Kucheza kote huku na hawa wajukuu ntaachaje kujua...Babu na wewe unaijua veepee?
Anhaa...Nawazooom tuu
Hahahaa.Who is that dude?