WekaaaNiweke mambo hadharani hapa?
Pole mamaYaan me notification kwangu ni janga la taifa
Kwa sababu mnatuonelea. Wanawake msifie nyie na wanaume pia jamani? Aaah tusifanyiane hivyo.Mbona una hasira na mimi hivyo mkuu teh teh teh
Are u not safe with him?
Tena hizo za kuniita ndio sipati kabisa asante nimeshajizoeleaPole mama
Sawa my dearTena hizo za kuniita ndio sipati kabisa asante nimeshajizoelea
Wewe utakuwa umekalia Big G unahitaji kubanduliwa.Mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake ni sawa kila mwanaume kumsifia mwanaume mwenzake si sawa!!
Alafu mbona unatoa povu hivo teh teh teh teh
Akajenge vyoo kwao kwanza, wasukuma wenzake wanakunya ziwani mpaka mabinti wakare kabisa.Simshobokei kama huo utoto ulioandika. Ungetuuliza wanawake mnampendea nini Nyani Ngabu tungekupa majibu. Ila hayo uloandika labda mwenzetu unamshobokea kwa hayo. Mie nampendea majibu yake tu hayo ya kukaa nje sijui anakaa karibu na nani ndo nimejua leo kumbe NN ni neiba ake Usher.
We tapeli dalali sina muda wa kupoteza na wewe
Chongo wewe
We mzee ni mlemavu usitake nimkosee Muumba hapa
Wasalaam wanabodi..
Malcom Lumumba kuja hapa umwage sifa kwa Msukuma Ngabu
Ni mimi ndie. Mbona hukuja kunisalimia sasa?Hivi wewe ndiye yule nilikuona nae pale Triple 7?
Mbebez niaje aisee! mbona mapovu ya kutosha humu hahahWassup brav.. I'm all good, chilling waiting for my big fella Nyani
Kweli unampenda hadi kumfuatilia anavyovaa.I was too excited to meet my role model.. Ile kofia yake nimeipenda sana.. Seen him with it multiple times. Hanaga kofia nyingine au ile anaivaaga bongo tu?