Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]

Kapiga Krosi hapo halafu kafunga mwenyewe Mkuu. This's JamiiForums Mkuu pole sana kama una ugeni nayo.
 
Mimi wa Kwa mtogole wacha niendelee kucheza singeli

Woyoooooo man fongo natambaa ,nguo za mtumbaa

Zam yanan leooooooo.

Wakinipenda sawa , wasiponipenda sawa nachojua Mimi ni mwanamme Bora nisiyepatikanika mahali popote duniani.
 
Mkuu jina lako haliendani na maadhi ya Nyani Ngabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom