Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Umemsoma FisadiKuu vizuri?.

Hakusema wanawake, Kauliza "Hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni"?. Sidhani kama u mrembo.

Kwa maelezo yako hapo juu ni kwamba "Wewe ni mwanamke", urembo ni issue nyingine. Na pia sidhani kama wewe ni binti.

I stand to be corrected.
Nenda kasome vizuri umekurupuka
 
Wasalaam wanabodi..

Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara kadha wa kadhaa, Hivi kuna ambaye hamfahamu Nyani Ngabu humu JF? Ni kwanini Nyani ni maarufu sana humu JF? Hili swali ningeomba Nyani wenyewe anijibu..

Lakini pia, hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni? Kuna mrembo asiyependa kuishi US Atlanta, tena ukizingatia Nyani alishawahi kusema anakaa neighbourhood moja na Usher Raymonds, yani kila asubuhi Nyani akiwa anaenda kazini huwa anamuona Usher akiwa jogging.. Kwa hayo tu naamini hakuna binti yeyote humu JF mwenye kiburi cha kumkataa Nyani.. Kama yupo basi aseme hapa na mimi nitampa Nyani kazi ya kumprove wrong huyo binti..

Nyani Ngabu nimekuja kuamini wewe ndiye mnyamwezi wa kweli humu JF, na naamini lazima PM yako inasumbuliwa sana na mabinti wanaotaka kuishi US..

Malcom Lumumba kuja hapa umwage sifa kwa Msukuma Ngabu
Karibu Sausalito second street CA.............
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom