Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hahaha....halafu usije mapema kesho mkamuaji hayupo,.sawa!?Teh teh teh sasa nisimjue mtu kila siku napita kwao kuchukua maziwa.
Kuna jamaa nilitaka nimtag hapo nikakosea mbn ni huo Uzi ni me edit
Nenda kasome vizuri umekurupukaUmemsoma FisadiKuu vizuri?.
Hakusema wanawake, Kauliza "Hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni"?. Sidhani kama u mrembo.
Kwa maelezo yako hapo juu ni kwamba "Wewe ni mwanamke", urembo ni issue nyingine. Na pia sidhani kama wewe ni binti.
I stand to be corrected.
Huyu jamaa nahisi bongo ni bahat mbaya kwakeTeh teh teh kikristo chake na cha Kilanga huwa kinawaingiza watu mitini
Mkuu aisee wewe TISSKapiga Krosi hapo halafu kafunga mwenyewe Mkuu. This's JamiiForums Mkuu pole sana kama una ugeni nayo.
Ya.....naona mmepanga PM uje kumpa promeHivi kumbe ni kikongwe huyu?
Hahaha....halafu usije mapema kesho mkamuaji hayupo,.sawa!?
Cool Darling,.[emoji6]Yes sweetheart
Mkuu Forex vipiAhahhaah mzeee Comedy sana huyu
haahhaa ile move ya forex imeisha......Mkuu Forex vipi
Mmmmh,.uje na Inna tuu...Hahaaa si utanikamulia ww kwa ndani
haahhaa ile move ya forex imeisha......
Ya ndio maana umempa.Mkuu unadhani Nyani anahitaji promo humu?
Karibu Sausalito second street CA.............Wasalaam wanabodi..
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara kadha wa kadhaa, Hivi kuna ambaye hamfahamu Nyani Ngabu humu JF? Ni kwanini Nyani ni maarufu sana humu JF? Hili swali ningeomba Nyani wenyewe anijibu..
Lakini pia, hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni? Kuna mrembo asiyependa kuishi US Atlanta, tena ukizingatia Nyani alishawahi kusema anakaa neighbourhood moja na Usher Raymonds, yani kila asubuhi Nyani akiwa anaenda kazini huwa anamuona Usher akiwa jogging.. Kwa hayo tu naamini hakuna binti yeyote humu JF mwenye kiburi cha kumkataa Nyani.. Kama yupo basi aseme hapa na mimi nitampa Nyani kazi ya kumprove wrong huyo binti..
Nyani Ngabu nimekuja kuamini wewe ndiye mnyamwezi wa kweli humu JF, na naamini lazima PM yako inasumbuliwa sana na mabinti wanaotaka kuishi US..
Malcom Lumumba kuja hapa umwage sifa kwa Msukuma Ngabu
Naona sasa hv moto forex umepoa baada ya wahanga wa forex kuleta mrejesho wakupewa za uso.Haiwezi kuisha kirahisi namna hiyo, mm huwa nahesabu episodes tu.
You need Arguments?.Nenda kasome vizuri umekurupuka