Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.

FisadiKuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
8,169
Reaction score
13,455
Wasalaam wanabodi..

Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara kadha wa kadhaa, Hivi kuna ambaye hamfahamu Nyani Ngabu humu JF? Ni kwanini Nyani ni maarufu sana humu JF? Hili swali ningeomba Nyani wenyewe anijibu..

Lakini pia, hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni? Kuna mrembo asiyependa kuishi US Atlanta, tena ukizingatia Nyani alishawahi kusema anakaa neighbourhood moja na Usher Raymonds, yani kila asubuhi Nyani akiwa anaenda kazini huwa anamuona Usher akiwa jogging.. Kwa hayo tu naamini hakuna binti yeyote humu JF mwenye kiburi cha kumkataa Nyani.. Kama yupo basi aseme hapa na mimi nitampa Nyani kazi ya kumprove wrong huyo binti..

Nyani Ngabu nimekuja kuamini wewe ndiye mnyamwezi wa kweli humu JF, na naamini lazima PM yako inasumbuliwa sana na mabinti wanaotaka kuishi US..

Malcom Lumumba kuja hapa umwage sifa kwa Msukuma Ngabu
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
 
Una akili sana Lovely mum napenda wanawake kama ww, ebu njoo pm mara moja kama huto jali.
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Ikatokea moyo wa Nyani ukakudondokea una kiburi cha kumkataa wewe?
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Wee mwenyewe libaya hawez kujupenda leusiii, linene hafu lifupi flani hv.. Pua sasa kama kisigino...
 
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote
Umemsoma FisadiKuu vizuri?.

Hakusema wanawake, Kauliza "Hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni"?. Sidhani kama u mrembo.

Kwa maelezo yako hapo juu ni kwamba "Wewe ni mwanamke", urembo ni issue nyingine. Na pia sidhani kama wewe ni binti.

I stand to be corrected.
 
NYANI NGABU NGOSHA LA USA BABY

huyu jamaa miaka kama miwili nyuma aliweeka kinoma alikuwa ni ngosha kweli

Mimi ananiachaga hoi tu kwenye kikrsto chake mwanasheria msomi petro mselewa huwa anachemka kinoma kumuelewa jamaa
 
I salute you my man.. Thanks for making my job easier
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Heshima yako lovely Mum
 
NYANI NGABU NGOSHA LA USA BABY

huyu jamaa miaka kama miwili nyuma aliweeka kinoma alikuwa ni ngosha kweli

Mimi ananiachaga hoi tu kwenye kikrsto chake mwanasheria msomi petro mselewa huwa anachemka kinoma kumuelewa jamaa
Teh teh teh kikristo chake na cha Kilanga huwa kinawaingiza watu mitini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom