Nyanja za haki za binadamu

Edychristian

New Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Kwenye Nyanja ya Haki za binadamu.
Kila binadamu ana haki ya kupata huduma za kilazima kama maji,Chakula na mahala pakuishi lakini kila binadamu ana haki ya kupata huduma za Ki afya pindi anapohitaji huduma hizo
l
#StoriesOfChange #CitizenJournalisim

Lakini pia kila binadamu ana haki ya kusikilizwa ,haki ya kutoa mawazo kila binadamu ana haki ya kuhakikishiwala anapata ulinzi wa nyumba na mali zake,Kila binadamu aa haki ya Kupata elimu na maisha bora.
Hii itachangia Ukuaji wa wa Uchumi na ustawishwaji wa Uchumi
Pande zote za ulimwengu,hii itapafanya Duniani kuwa sehemu salama pakuishi,💪🔥#StoriesOfChange #CitizenJournalism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…