NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

Serikali tatu zenye mamlaka,
1 .Zanzibar mamlaka kamili nje na ndani,
2 .Tanganyika mamlaka kamili nje na ndani,
3 .Serikali ya muungano yenye Nguvu za Ndani tuukwa ridhaa za Wadau
4 .Uwepo uwezekano wa kuungana na nchi nyingine ikitokea kujiunga na sisi.
5. Jina la nchi la kufikirika liwe TANZAFRIKA. huku kila nchi ikibaki na Sovereghnity yake na jina lake la Asili.
6.Tuwe na Sarafu moja kama European Union au UAE.
7. Kila Nchi iwe na jeshi lake na polisi wake ,lakini sheria ziwe za jamuhuri.
 
Back
Top Bottom