Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Sasa nimeamini usemi unasema mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Aliyezoea kula makombo ya wskubwa huathirika hata uwezo wa kufikiri. Pole sana ndugu yangu.
 

Faiza, hata kama Msemakweli alikuwa na ushahidi wa moja kwa moja atakuwaje prosecutor? Prosecutions huwa zinafanywa na DPP sio watu binafisi. Mbona hili liko wazi? I know there are very exceptional circumstances where private individuals can prosecute but this is very rarely tena kwenye vikesi vidogo pale Jamhuri inapokataa ku-prosecute.

Kwa taarifa yako, hata akifungua kesi ya jinai binafsi, DPP ata-take over hiyo kesi kwa sababu itakuwa na public interest. Criminal prosecutions are not in any sense about justice for the victim. They are about society as a whole showing its disapproval of the acts of the defendant. Ndio maana Jamhuri inaendesha kesi za jinai. Private prosecution is sometimes regarded with suspicion as a potential avenue for vexatious or malicious prosecution. So, it is better the DPP do it.

Nakupa mfano. Wewe ni mmoja wa watu ambao mmekuwa mkisema Dr Slaa alikuwa halipi kodi. Kama una ushahidi wa wazi kuwa DR Slaa halipi kodi na hauridhishwi na yeye kutolipa kodi utafanyaje? Utaenda kum-prosecute wewe mwenyewe mahakamani?
 

Faiza,

Naona hapa tunaongelea maswala mawili tofauti. Nilichokuwa ninasisitizia ni hoja yako kwamba, kwanini Msemakweli asiende mahakamani yeye mwenyewe kushitaki? Ndiyo maana nika-quote maelezo ya Prof kuongezea msisitizo kwamba mtu binafsi kwenye kesi ya jinai anabaki kuwa ni shahidi lakini mwenye jukumu la kushitaki ni Jamhuri kupitia kwa DPP.

Pia ulisema kwamba kesi za EPA ni za madai, hilo nimepingana na wewe kwa kuwa kesi hizo zote zinahusu kughushi nyaraka ili watu waweze kujipatia hela kwa njia ya udanganyifu. Iwapo wahusika wangekuwa walichukua hela kwa taratibu zinazotakiwa bila ujanja ujanja hapo ndipo pangekuwa na madai na siyo jinai.

Swala la "incriminating evidence" ni juu ya mahakama. Kwenye post yangu sikutoa hukumu kwamba evidence ya Msemakweli inam-incriminate Manji au Rostam. Ni juu ya DPP kukaa chini na kupitia ushahidi wote aliopewa then atajua yeye mwenyewe kama ushahidi huo una nguvu au hauna nguvu.

Hakuna kati yetu ambaye anaweza kuwa na uhakika kwamba ushahidi huu uliotolewa unaweza kum-incriminate mtuhumiwa au la, hilo ni jukumu la mahakama. Ndio maana huwa wanasema kwamba mtuhumiwa anabaki kuwa innocent mpaka pale mahakama itakapomtia hatiani baada ya jaji/hakimu kusikiliza hoja za upande wa mashitaka, hoja za utetezi na pia ushahidi uliowakilishwa mahakamani.
 
Watanzania msidanganywe, wanaohusika na Kagoda wanafahamika na walipewa ratiba ya namna ya kurudisha fedha hizo. Ratiba hiyo pamoja na kuwa ninayo sintoweza kuiweka public kwakuwa bado ni suala la kikazi
we vipi unatuchanganya ebu sema kitu hakuna tena siri hapo weka mambo wazi watu tumedata
 

Hizi pumba ndio hivyo hivyo hata wakati Dr slaa anataja list of shame walisema. hiyo pumba ni dalili ya mtu kuzidiwa au kama nilivyosema uko corrupt teh teh teh teh . Najua Mhusika mkubwa wa kagoda angekuwa rafiki yako Reginald mengi tuungeongea lugha moja. Hilo ndio tatizo la corruption nyingine. Turudi kwenye mada..........

  • Je una uhaika JMK anawashughuliia watu hao kwa kupenda u kwamba ni pressure za nje?Mbona mara nyingi hizo hatua zimekuwa ni REACTIVE baada ya mambo mengi kuibuliwa au kushikiwa kideadea na watu walio nje ya mfumo?
  • Kama kweli ni nia ya JK kwa nini asitumie machnery za serikali kama TAKUKURU< polisi, wanasheria, UWT kuwa ahead of things.
  • Je huyo JK unayemtetea kama na naia ya dhati kuapmabana na ufisadi anajisikijea DPP Wake aliyemchangua anaposema wananchi wenye ushahidi wa mambo ya EPA wapeleke ? KWeli na wewe unaamini serikali haina ushahidi ?
Kuhusu Mramba na wengine huyo huyo JK unayemtetea ameonyesha unafiki. na kutokuwa makini au anaonekaka vita ya ufisadi haiungi mkono kutoka moyoni. . Kwa nini nasema hivi?

Inakuwaje kama mwenyekiti wa chama cha CCM akamrushu mwachama wake( Mramba,) agombee kiti cha ubunge kwa chama chake mtu mabye serikali anayoongoza inamshataki ? Jibu Sanaaa

So kuhusu

  • kulishghululika suala hilo ni kweli JMK analishghulikia tofauti na mkapa lakini kama ana nia ya dhati hilo siamini na dalili zinanyesha ni external pressure ndio inamfanya ashughulikie mambo mengi. Refer to Weakleas cable ya OR wa TISS kuhusu JMK kuonekana mzito kuwashughulikia big fish wa ufisadi . kama JMK kabadilika kuanzika mwaka huu basi ni heri . So wakujipongeza ni wananchi vyama vya upinzani pamoja na JMK teh teh teh . Kubali kuwa hay na mafanikio ya JMK unayoyaayamini so far yanatokana na msukumo wa wananchi na sio CCM........
  • ufanisi mkubwa sijui benchmark yako ya Ufanisi ni kwa vigezo gani. kama unalinganisha JMK na Mkapa na mwinyi teh teh teh wote ni CCM na bado sijaona ufanisi zaidi ya maigizo. Mahalu hatujui mwisho wake mramba bado. Unaona hapa wanapotaka kuguswa kina RA ndio corrupt system inabidi iwatumie kina msemakweli. So kama ni ufanisi wa magizo kweli lakini output bado.

 

Faiza, kesi za EPA ni criminal cases, na tayari kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani. Aprili mwaka huu hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam alipanga kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), iliyokuwa ikimkabili Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda na mpwa wake, Farijala Hussein. Hii ilikuwa si kesi ya jinai? Hiyo ndiyo kesi pekee ambayo imefikia hatua ya hukumu kuliko kesi nyingine za EPA zilizofunguliwa mfululizo Novemba 4, mwaka 2008. Hizi zote ni kesi za jinai. Soma hii thred: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/114276-mwenendo-wa-kesi-za-epa.html
 

Huna hoja wewe, unabwabwaja tu. Kaa kimya, kinachokuudhi ni hiyo misikiti na si kinginecho.
 


Nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya Kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina Farijala inapelekwa mahakamani?

Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? pumba? nambie huu ushahidi uliopo hapa una mtia hatiani RA au YM. Si pumba tuu hizi.
 

Nalaila Kiula na Katibu Mkuu wake walipoburuzwa mahakamani ilikuwa ni zama za utawala wa Kikwete?

Tena usitaje jina la Mramba, maana Kikwete mwenyewe kwa kinywa chake alienda Rombo mwaka jana kumpigia debe akisema Mramba ana kesi ndogo sana na kwamba atashinda. Huo ndio ufanisi? Rais anapotamka kwamba fulani ana kesi ndogo, huoni kama anaweza ku-influence maamuzi ya mahakama, na ukizingatia mfumo wa mahakama zetu ambazo wakati mwingine unatoa hukumu ambazo zinaacha maswali mengi kuliko majibu?
 

tupe kwanza ushahidi uliomtia hatiani Farijala ili tupime kama akili zako ziko sawa au ni shake well b4 use.

maana umekuwa mahiri wa kumsifia mjomba wa bagamoyo kuwa amepeleka watu mahakamani kuliko wakati wowote.

sijui unafikiri kwa kutumia nini? kama huko nyuma hakukuwa na mtu alipelekwa mahakamani huoni kama kulikuwa na uadilifu? au unataka watu wapelekwe mahakamani hata kama hawana makosa?
 

Kikwete ndio hakimu? unanchekesha. Hao kina nalaila si ndio hao tu au kuna zaidi yao? mie nimekutajia wangapi au niendelee na listi?
 
Naomba Msemakweli apewe Ulinzi wasije wakamkolimba

Bahati nzuri ni kwamba Serikali ya Tz inaongozwa kwa misingi ya haki, uhuru na usawa. Jambo kama hilo halijawahi kutokea na halitatokea kwa yeyote akiwemo huyo msemahovyo,,, sorry, Msemakweli.
 
Mambo yameiva!

yaliiva siku nyingi tu mkuu...alikuwa akitafutwa wa kumfunga paka kengele tu!

lakini hakuna kitakachofanyika..CCM wanajua kuwa wizi wa kagoda ilikuwa ni kwa ajili ya wao kupata pesa za uchaguzi mwaka 2005, vinginevyo mambo yangekuwa magumu sana..ni kwa mantiki hiyo wamekuwa wazito kulipeleka suala hili mpaka mwisho..huwezi kukata mkono unaokulisha au siyo?
 
Kikwete ndio hakimu? unanchekesha. Hao kina nalaila si ndio hao tu au kuna zaidi yao? mie nimekutajia wangapi au niendelee na listi?

Ona sasa FF ulivyo . Kikwete sio hakimu lakini kwa mdaraka aliynayo kama kweli serikali yake ambayo yeye ni rais inamshataki mtu kwa nini k ama mwenyekiti wa chama asimnyime fomu. Ndio hapo watu tunaona ni maigizo.

Kama serikali yako imesha mshataki mtu. maana yake haina imani naye . So hutakiwi kukubali kumuweka karibu kichama. Ni bomu kama si kukulipua basi atalipua chama
 
Mbona tuliambiwa na seriokali kagoda ni ya jeshi haiguswi, kumbe ni uwongo, my GOD.

Kagoda haijawahi kuwa ya Jeshi. Pengine unamaanisha Meremeta....hiyo ndo inahusishwa na Jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…