Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nadhani umeshindwa kuelewa nadharia.

Kesi hii na ushahidi uliotolewa unamuhusisha vipi wizi RA na YM? hakuna ushahidi kabisa hapo. Inabaki kuwa madai na hakuna criminal case hapo.

Sijui kama unanielewa au na wewe ni katika wale wanaong'ang;ania visivyo kuwepo.

Nakumbuka walipokuwa wanashabikia humu JF Dowans wafutiwe mkataba, nilijaribu sana kupinga hilo na nikasema litigharimu serikali kiasi kikubwa cha fedha. Hakuna aliyenielewa. Matokeo tunayajuwa.

Na kwa hili nakuambieni hakuna "incriminating evidence" kwa RA wala YM. pelekeni mahakamani, mtakuja kuniambia matokeo yake. Hata huyo DPP kwa "ushahidi" uliowekwa hapa haifikishi hata mahakamani labda na yeye awe punguani.

Hata kesi ya Richmond ilipopelekwa mahakamani nikasema watashinda na tumeona kimekuwa nini. Kumbukeni, wengi wenu mko so emotional kwa mapenzi ya chama chenu, hamna uwezo wa kuuona ukweli ikiwa mtakuwa emotional kwa mapenzi yenu ya chama.

Nakwambieni tena hakuna kesi hapo, au hakuna ushahidi wa kumtia hatiani RA wala YM.

Yusuph Manji kuhamisha pesa kupitia bureau ni moja katim ya ushahidi wa kijinga sana niliouona hapa. Hivi Yusuf Manji ana hamisha mamilioni mangapi kila siku kupitia bureau yake kwa biashara zake. Akiitowa list yake hata hakimu atamuona alioleta huo ushahidi ni punguani.

Kuweni na mtazamo bila kuwa washabiki. Watanzania ushabiki wa huku tumefunga macho na masikio unatuponza kwenye mengi sana. Na hii ni kwa ngazi zote si kwa wana JF tuu. hata maamuzi mengine ya maana yanatolewa kiushabiki na si kama ilivyo. Mfano mdogo ni kufuta mkataba wa Dowans, ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu. Na wahusika wote walifanya hivyo kufuata ushabiki ama kwa maslahi yao au ya vyeo vvyao.
Sasa nimeamini usemi unasema mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Aliyezoea kula makombo ya wskubwa huathirika hata uwezo wa kufikiri. Pole sana ndugu yangu.
 
EMT, Hakuna evidence isiyokubaliwa mahakamani. Lakini kumbuka, kesi zinajengwa na strong "evidences" and not strong assumptions. The so called evidence provided by Msemakweli is neither forensic nor can it stand in a "product liability" case. Remember, EPA is a product liability case, the product being servicing of loans. You are mixing circumstantial evidence za criminal cases na civil law suits. In civil cases you have cases which can easily be decided using circumstantial forensic evidence but when it comes to intangible product like servicing of loans, if the circumstantial evidence suggests a possibility of innocence, the prosecution has the burden of disproving that possibility.

In our case here Mr. Msemakweli never ever would he agree to be the the prosecutor of the so called case as his "evidence" without doubt suggests a possibility of innocence from the word go. That is why he throws it to DPP, simply to avoid counter suits and considering all the hours he has put to look for the so called evidence to be wasted for nothing? No. Throw it to DPP and leak it to the media, and many would be fooled to praise him as he did something useful. Its simply bogus and he knows it.

Believe me or not, if the so called evidence was solid evidence, without any possibility of doubt, he wouldn't have missed the chance to open the case himself. Who wouldn't want to be his countries hero?

Faiza, hata kama Msemakweli alikuwa na ushahidi wa moja kwa moja atakuwaje prosecutor? Prosecutions huwa zinafanywa na DPP sio watu binafisi. Mbona hili liko wazi? I know there are very exceptional circumstances where private individuals can prosecute but this is very rarely tena kwenye vikesi vidogo pale Jamhuri inapokataa ku-prosecute.

Kwa taarifa yako, hata akifungua kesi ya jinai binafsi, DPP ata-take over hiyo kesi kwa sababu itakuwa na public interest. Criminal prosecutions are not in any sense about justice for the victim. They are about society as a whole showing its disapproval of the acts of the defendant. Ndio maana Jamhuri inaendesha kesi za jinai. Private prosecution is sometimes regarded with suspicion as a potential avenue for vexatious or malicious prosecution. So, it is better the DPP do it.

Nakupa mfano. Wewe ni mmoja wa watu ambao mmekuwa mkisema Dr Slaa alikuwa halipi kodi. Kama una ushahidi wa wazi kuwa DR Slaa halipi kodi na hauridhishwi na yeye kutolipa kodi utafanyaje? Utaenda kum-prosecute wewe mwenyewe mahakamani?
 
Nadhani umeshindwa kuelewa nadharia.

Kesi hii na ushahidi uliotolewa unamuhusisha vipi wizi RA na YM? hakuna ushahidi kabisa hapo. Inabaki kuwa madai na hakuna criminal case hapo.

Sijui kama unanielewa au na wewe ni katika wale wanaong'ang;ania visivyo kuwepo.

Nakumbuka walipokuwa wanashabikia humu JF Dowans wafutiwe mkataba, nilijaribu sana kupinga hilo na nikasema litigharimu serikali kiasi kikubwa cha fedha. Hakuna aliyenielewa. Matokeo tunayajuwa.

Na kwa hili nakuambieni hakuna "incriminating evidence" kwa RA wala YM. pelekeni mahakamani, mtakuja kuniambia matokeo yake. Hata huyo DPP kwa "ushahidi" uliowekwa hapa haifikishi hata mahakamani labda na yeye awe punguani.

Hata kesi ya Richmond ilipopelekwa mahakamani nikasema watashinda na tumeona kimekuwa nini. Kumbukeni, wengi wenu mko so emotional kwa mapenzi ya chama chenu, hamna uwezo wa kuuona ukweli ikiwa mtakuwa emotional kwa mapenzi yenu ya chama.

Nakwambieni tena hakuna kesi hapo, au hakuna ushahidi wa kumtia hatiani RA wala YM.

Yusuph Manji kuhamisha pesa kupitia bureau ni moja katim ya ushahidi wa kijinga sana niliouona hapa. Hivi Yusuf Manji ana hamisha mamilioni mangapi kila siku kupitia bureau yake kwa biashara zake. Akiitowa list yake hata hakimu atamuona alioleta huo ushahidi ni punguani.

Kuweni na mtazamo bila kuwa washabiki. Watanzania ushabiki wa huku tumefunga macho na masikio unatuponza kwenye mengi sana. Na hii ni kwa ngazi zote si kwa wana JF tuu. hata maamuzi mengine ya maana yanatolewa kiushabiki na si kama ilivyo. Mfano mdogo ni kufuta mkataba wa Dowans, ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu. Na wahusika wote walifanya hivyo kufuata ushabiki ama kwa maslahi yao au ya vyeo vvyao.

Faiza,

Naona hapa tunaongelea maswala mawili tofauti. Nilichokuwa ninasisitizia ni hoja yako kwamba, kwanini Msemakweli asiende mahakamani yeye mwenyewe kushitaki? Ndiyo maana nika-quote maelezo ya Prof kuongezea msisitizo kwamba mtu binafsi kwenye kesi ya jinai anabaki kuwa ni shahidi lakini mwenye jukumu la kushitaki ni Jamhuri kupitia kwa DPP.

Pia ulisema kwamba kesi za EPA ni za madai, hilo nimepingana na wewe kwa kuwa kesi hizo zote zinahusu kughushi nyaraka ili watu waweze kujipatia hela kwa njia ya udanganyifu. Iwapo wahusika wangekuwa walichukua hela kwa taratibu zinazotakiwa bila ujanja ujanja hapo ndipo pangekuwa na madai na siyo jinai.

Swala la "incriminating evidence" ni juu ya mahakama. Kwenye post yangu sikutoa hukumu kwamba evidence ya Msemakweli inam-incriminate Manji au Rostam. Ni juu ya DPP kukaa chini na kupitia ushahidi wote aliopewa then atajua yeye mwenyewe kama ushahidi huo una nguvu au hauna nguvu.

Hakuna kati yetu ambaye anaweza kuwa na uhakika kwamba ushahidi huu uliotolewa unaweza kum-incriminate mtuhumiwa au la, hilo ni jukumu la mahakama. Ndio maana huwa wanasema kwamba mtuhumiwa anabaki kuwa innocent mpaka pale mahakama itakapomtia hatiani baada ya jaji/hakimu kusikiliza hoja za upande wa mashitaka, hoja za utetezi na pia ushahidi uliowakilishwa mahakamani.
 
Watanzania msidanganywe, wanaohusika na Kagoda wanafahamika na walipewa ratiba ya namna ya kurudisha fedha hizo. Ratiba hiyo pamoja na kuwa ninayo sintoweza kuiweka public kwakuwa bado ni suala la kikazi
we vipi unatuchanganya ebu sema kitu hakuna tena siri hapo weka mambo wazi watu tumedata
 
Aaaaarghhhhhhh. Pumba.

254 nimeisoma kuna ukweli ndani yake lakini tunaona JMK akilishughulikia suala hili kwa ufanisi mkubwa kabisa na ndio maana tukaona watu kama kina Mramba, Mahalu, na wale ndugu wawili wa EPA wakienda mahakamani.

hatujawahi kuona vigogo kabla ya Kikwete wakisasambuliwa mahakamani zaidi ya wakati wa wake. Au na hili hulioni?

Hizi pumba ndio hivyo hivyo hata wakati Dr slaa anataja list of shame walisema. hiyo pumba ni dalili ya mtu kuzidiwa au kama nilivyosema uko corrupt teh teh teh teh . Najua Mhusika mkubwa wa kagoda angekuwa rafiki yako Reginald mengi tuungeongea lugha moja. Hilo ndio tatizo la corruption nyingine. Turudi kwenye mada..........

  • Je una uhaika JMK anawashughuliia watu hao kwa kupenda u kwamba ni pressure za nje?Mbona mara nyingi hizo hatua zimekuwa ni REACTIVE baada ya mambo mengi kuibuliwa au kushikiwa kideadea na watu walio nje ya mfumo?
  • Kama kweli ni nia ya JK kwa nini asitumie machnery za serikali kama TAKUKURU< polisi, wanasheria, UWT kuwa ahead of things.
  • Je huyo JK unayemtetea kama na naia ya dhati kuapmabana na ufisadi anajisikijea DPP Wake aliyemchangua anaposema wananchi wenye ushahidi wa mambo ya EPA wapeleke ? KWeli na wewe unaamini serikali haina ushahidi ?
Kuhusu Mramba na wengine huyo huyo JK unayemtetea ameonyesha unafiki. na kutokuwa makini au anaonekaka vita ya ufisadi haiungi mkono kutoka moyoni. . Kwa nini nasema hivi?

Inakuwaje kama mwenyekiti wa chama cha CCM akamrushu mwachama wake( Mramba,) agombee kiti cha ubunge kwa chama chake mtu mabye serikali anayoongoza inamshataki ? Jibu Sanaaa

So kuhusu

  • kulishghululika suala hilo ni kweli JMK analishghulikia tofauti na mkapa lakini kama ana nia ya dhati hilo siamini na dalili zinanyesha ni external pressure ndio inamfanya ashughulikie mambo mengi. Refer to Weakleas cable ya OR wa TISS kuhusu JMK kuonekana mzito kuwashughulikia big fish wa ufisadi . kama JMK kabadilika kuanzika mwaka huu basi ni heri . So wakujipongeza ni wananchi vyama vya upinzani pamoja na JMK teh teh teh . Kubali kuwa hay na mafanikio ya JMK unayoyaayamini so far yanatokana na msukumo wa wananchi na sio CCM........
  • ufanisi mkubwa sijui benchmark yako ya Ufanisi ni kwa vigezo gani. kama unalinganisha JMK na Mkapa na mwinyi teh teh teh wote ni CCM na bado sijaona ufanisi zaidi ya maigizo. Mahalu hatujui mwisho wake mramba bado. Unaona hapa wanapotaka kuguswa kina RA ndio corrupt system inabidi iwatumie kina msemakweli. So kama ni ufanisi wa magizo kweli lakini output bado.

Hapo ndipo mtajuwa kuwa darasa ni kitu kizuri sana. Kesi za EPA hazijawa "criminal" cases, EPA ni servicing of loans na aliyepewa hiyo kazi kama hajatimiza wajib wake ana mawili, kulipa kiasi cha fedha alichopewa au kama hana cha kulipa kufilisiwa mali yake kama ataonekana kafanya makosa yaku breach contract yake.

Msemakeli hana kesi hapo, wala hana ushahidi wa kesi. Kama ana kesi angeifunguwa zamani. Anampelekea ushahidi DPP, DPP ndio auchambuwe huo ushahidi kama ana kesi inayohusu hao waliotajwa, cha kujiuiza jee DPP ana kesi ya Kigoda? au unapelekwa ushahidi ili aweze kuupima kama unafaa kufunguwa kesi? Jibu wala huna haja ya kunipa mimi, kama unalo jibu weka moyoni mwako likusaidie fikra zako.

Faiza, kesi za EPA ni criminal cases, na tayari kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani. Aprili mwaka huu hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam alipanga kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), iliyokuwa ikimkabili Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda na mpwa wake, Farijala Hussein. Hii ilikuwa si kesi ya jinai? Hiyo ndiyo kesi pekee ambayo imefikia hatua ya hukumu kuliko kesi nyingine za EPA zilizofunguliwa mfululizo Novemba 4, mwaka 2008. Hizi zote ni kesi za jinai. Soma hii thred: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/114276-mwenendo-wa-kesi-za-epa.html
 
we farasi unatetea nini?

au na wewe ni wale wale wa mumbai wanaotoka kwao masikini na kuja na broken english kuanzisha kampuni uchwara kwa mtindo wa kufukiza udi na kupora mali zetu?

kama kuna mtu ananikera hapa JF ni wewe.

unajifanya mtetezi wa kila kitu hata uoza.

unaongelea habari ya dowan. hujui kama baba yako na ngeleja walifanya safari zisizo na kikomo kwa ajili ya kwenda kutafuta chemba ya kugawana mpunga na yule jenerali feki wa dowans.

nyie siku yenyu inakuja mtakapoanguka kama mjomba yenu mjenga misikiti alivyoondolewa na mende ikulu ya tripoli

Huna hoja wewe, unabwabwaja tu. Kaa kimya, kinachokuudhi ni hiyo misikiti na si kinginecho.
 
Faiza, kesi za EPA ni criminal cases, na tayari kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani. Aprili mwaka huu hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam alitoa hukumu ya kesi ya wizi wa sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), iliyokuwa ikimkabili Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda na mpwa wake, Farijala Hussein. Hii ilikuwa si kesi ya jinai? Hiyo ndiyo kesi pekee ambayo imefikia hatua ya hukumu kuliko kesi nyingine za EPA zilizofunguliwa mfululizo Novemba 4, mwaka 2008. Hizi zote ni kesi za jinai. Soma hii thred: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/114276-mwenendo-wa-kesi-za-epa.html

Nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya Kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina Farijala inapelekwa mahakamani?

Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? pumba? nambie huu ushahidi uliopo hapa una mtia hatiani RA au YM. Si pumba tuu hizi.
 
Aaaaarghhhhhhh. Pumba.

254 nimeisoma kuna ukweli ndani yake lakini tunaona JMK akilishughulikia suala hili kwa ufanisi mkubwa kabisa na ndio maana tukaona watu kama kina Mramba, Mahalu, na wale ndugu wawili wa EPA wakienda mahakamani.

hatujawahi kuona vigogo kabla ya Kikwete wakisasambuliwa mahakamani zaidi ya wakati wa wake. Au na hili hulioni?

Nalaila Kiula na Katibu Mkuu wake walipoburuzwa mahakamani ilikuwa ni zama za utawala wa Kikwete?

Tena usitaje jina la Mramba, maana Kikwete mwenyewe kwa kinywa chake alienda Rombo mwaka jana kumpigia debe akisema Mramba ana kesi ndogo sana na kwamba atashinda. Huo ndio ufanisi? Rais anapotamka kwamba fulani ana kesi ndogo, huoni kama anaweza ku-influence maamuzi ya mahakama, na ukizingatia mfumo wa mahakama zetu ambazo wakati mwingine unatoa hukumu ambazo zinaacha maswali mengi kuliko majibu?
 
Nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya Kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina Farijala inapelekwa mahakamani?

Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? pumba? nambie huu ushahid uliopo hapa una mtia hatiani RA au YM. Si pumba tuu hizi.

tupe kwanza ushahidi uliomtia hatiani Farijala ili tupime kama akili zako ziko sawa au ni shake well b4 use.

maana umekuwa mahiri wa kumsifia mjomba wa bagamoyo kuwa amepeleka watu mahakamani kuliko wakati wowote.

sijui unafikiri kwa kutumia nini? kama huko nyuma hakukuwa na mtu alipelekwa mahakamani huoni kama kulikuwa na uadilifu? au unataka watu wapelekwe mahakamani hata kama hawana makosa?
 
Nalaila Kiula na Katibu Mkuu wake walipoburuzwa mahakamani ilikuwa ni zama za utawala wa Kikwete?

Tena usitaje jina la Mramba, maana Kikwete mwenyewe kwa kinywa chake alienda Rombo mwaka jana kumpigia debe akisema Mramba ana kesi ndogo sana na kwamba atashinda. Huo ndio ufanisi? Rais anapotamka kwamba fulani ana kesi ndogo, huoni kama anaweza ku-influence maamuzi ya mahakama, na ukizingatia mfumo wa mahakama zetu ambazo wakati mwingine unatoa hukumu ambazo zinaacha maswali mengi kuliko majibu?

Kikwete ndio hakimu? unanchekesha. Hao kina nalaila si ndio hao tu au kuna zaidi yao? mie nimekutajia wangapi au niendelee na listi?
 
Naomba Msemakweli apewe Ulinzi wasije wakamkolimba

Bahati nzuri ni kwamba Serikali ya Tz inaongozwa kwa misingi ya haki, uhuru na usawa. Jambo kama hilo halijawahi kutokea na halitatokea kwa yeyote akiwemo huyo msemahovyo,,, sorry, Msemakweli.
 
Mambo yameiva!

yaliiva siku nyingi tu mkuu...alikuwa akitafutwa wa kumfunga paka kengele tu!

lakini hakuna kitakachofanyika..CCM wanajua kuwa wizi wa kagoda ilikuwa ni kwa ajili ya wao kupata pesa za uchaguzi mwaka 2005, vinginevyo mambo yangekuwa magumu sana..ni kwa mantiki hiyo wamekuwa wazito kulipeleka suala hili mpaka mwisho..huwezi kukata mkono unaokulisha au siyo?
 
Kikwete ndio hakimu? unanchekesha. Hao kina nalaila si ndio hao tu au kuna zaidi yao? mie nimekutajia wangapi au niendelee na listi?

Ona sasa FF ulivyo . Kikwete sio hakimu lakini kwa mdaraka aliynayo kama kweli serikali yake ambayo yeye ni rais inamshataki mtu kwa nini k ama mwenyekiti wa chama asimnyime fomu. Ndio hapo watu tunaona ni maigizo.

Kama serikali yako imesha mshataki mtu. maana yake haina imani naye . So hutakiwi kukubali kumuweka karibu kichama. Ni bomu kama si kukulipua basi atalipua chama
 
Mbona tuliambiwa na seriokali kagoda ni ya jeshi haiguswi, kumbe ni uwongo, my GOD.

Kagoda haijawahi kuwa ya Jeshi. Pengine unamaanisha Meremeta....hiyo ndo inahusishwa na Jeshi.
 
Back
Top Bottom