Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Pamoja na ushahidi huu wa Msemakweli, Kagoda bado haitafikishwa mahakamani kamwe!.

Alichokifanya Msemakweli ni kufuatilia procedures tangu za usajili wa Kagoda, asili ya jina, pesa zilichotwa lini na zikaingizwa wapi.

Ambacho hakuweza kubaini ni fedha hizo zilifanya nini, yeye anaamini zilitoroshewa nje ya nchi kupitia duka fulani la kuuza fedha za kigeni.

Kitu ambacho Msemakweli hakuweza kubaini ni the motive behind fedha za Kagoda na the real main players. Hao wote aliyowataja ni proins tuu kwenye hii game ya chess wahusika wakuu wote wako pembeni na hakuweza kuwabaini.

Kwa wenye kumbukumbu watakumbuka Mama Meghji aliliambia nini Bunge letu pale Dodoma. Mama Meghji alikiri kuwa she was duped na waliomdupe sio Rostam wala Manji!. Tena alisema alinyanyua simu kuongea na wakuu wakamthibitishia hizo fedha ni kweli zinahitajika kwa madhumuni yaliyotajwa hivyo akaidhinisha!. Hii part Msemakweli haijui kwa vile kwenye maandishi haionekani popote.

Msemakweli ameishia kwenye handling of transactions tuu na sio kwenye end use.

Ile kamati ya uchunguzi inayajua yote aliyoyasema Msemakweli ila pia inajua the end use ya hizo fedha and as a result, Kagoda haitafikishwa mahakamani hata mara moja labda baada ya 2015 only if...siyo CCM tena!.

Pasco, ili uweze uwe wizi ni lazima ujue fedha zilizoibwa zimetumika vipi? Je sheria ya Anti-money laundering inajali zilizotumwa zimetumika vipi?

Mkuu tatizo hapa ni kampuni kuwa persona legal entity.

Mkuu maana yake ni kwamba Kagoda=Magamba?

kweli mpuuzi ni mpuuzi na ni bora kumpuuzia

Mkuu Invisible, despite all the evidence inaonekana kuwa Rostam ameiweka nchi mkononi. I have no doubt kuwa serikali inawafahamu wanaohusika, lakini inawaogopa. So hata ukienda kwa DPP nothing will change, ni vizuri tu ukawaonesha kuwa si peke yao wanaojua kuwa wameiba pesa.

Msemakweli kuwa makini maana hawa watu siku izi kuutoa uhai wa mtu ni kama kunywa maji tuu hasa unapoingilia maslai yao!

mkuu mwanamapinduzi hafaidiki na mapinduzi aliyoyafanya..

ndiyo maana kane msemakweli kajiachia namna hiyo..

Ama kweli hakuna marefu yasiyo na ncha. Mungu amlinde Msemakweli. Na tuone kama DPP atajitetea kwa lipi

Ndugu,kesi ya kagoda haitatolewa hukumu sijui na mahakama ya mwanzo,au mahakama ya juu and certainly not court of appeal. Kesi ya kagoda itatolewa hukumu na highest court nchini peoples power court in most dramatic manner - running street battles in Dar,Arusha,Mbeya,Mwanza na popote nchini palipo desire for justice.

nicks yako naunachofikiria viko sawa..
hii inanipelekea kukumbuka ule uzi wa id za wanajf na mawazo yao vinaendana..

Msemakweli ni nani huyoo jamani?

Ninachofahamu huyu jamaa ameandika kitabu kinachoitwa "MAFISADI WA ELIMU" na ndani yake akawataja watu mbali mbali wenye Phd alizoziita feki. Baadhi walitishia kumshitaki lakini mpaka leo hawajachukua hatua. Katika wote waliotajwa ni Dr. Mathayo tu ndiye aliyeweza kuthibitisha kuwa elimu yake ni halali.

Kwanini kama serikali haitaki kushitaki wanaharakati wasifungue mashitaka wao,ama sheria haziruhusu ndugu zangu make kamwe magamba hawawezi kupeleka wezi hawa kisutu hata siku moja

DPP atakalia faili!

MTANZANIA HUYU........HAELEWI, HASIKIII........... HYO LAW KASOMEA INDIA!!!!!!!!
Mimi sio mwanasheria wala sijasoma Law na Utanzania wangu ni wakusukumiwa tu na Nyerere, mimi ni Mtanganyika ambae nilijikuta nalazimishwa kuwa Mtanzania nikipenda nisipende. Na hivi niko mbioni kuudai Utanganyika wangu.

Tanganyika nakukumbuka.

Kwa hili la Kagoda na Meremeta serikali yoyote ya CCM haitalifanyia kazi. Kama tunataka yafanyiwe kazi, 2015 tupate serikali nyingine.

Uadilifu upi wewe unaozungumzia? Rushwa na ufisadi zilianza wakati wa Nyerere na hii EPA fedha zilichotwa wakati gani? Ukishajibu hilo utaujuwa uadilifu uliokuwepo.

Nyerere si EPA, epa cha mtoto wakati wake. Kabla ya kung'atuka mpaka benki aliitia moto. Kwanini?

kweli nchi imeliwa!!!! watanzania tuamke!tufungue macho tuseme hapana kwa haya mambo yanayotoke na tulowapa dhamana wanakaa kimya!

Sisi tunangoja RA na YM wafikishwe mahakamani kwa "ushahidi" huu wa Msemakweli.

kama hiyo kitu kwenye bold umelishwa na wewe ukakubali , basi uwezo wako kichwani wa ku digest mambo hauna tofauti sana na wale watoto wenu mnaowafundisha karate kwenye madrassa zenu.

kama hiyo kitu kwenye bold umelishwa na wewe ukakubali , basi uwezo wako kichwani wa ku digest mambo hauna tofauti sana na wale watoto wenu mnaowafundisha karate kwenye madrassa zenu.
Mkuu, badilika basi hata kidogo JF, kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam, kwenye posts zako zote uwa kuna vitu viwili tu kuisifia CDM na kuponda Uislam, toa basi na michango mingine ya ujenzi! sote ni watanzania hakuna dini itakayoshinda, ni ushauri tu mkuu wangu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…