Kwanza walaaniwe wale wote wanaotetea unyama huu hapa jamvini, lakini kwa nguvu za mungu waliowengi watashinda tu.
Pili ahsante sana Invisible kwa issue kubwa kama hii! hawa wakina Rejeo,SlidingRoof,mwita 25,kishongo etc. wasikuumize kichwa,
kwani hata Egypty,Tunisia,kenya,zambia na sasa Libya kulikuwa na watu kama hawa waliokuwa wanazitetea serikali dharimu dhidi
ya waliowengi....lakini leo hii wote wamesambaratika na hawaamini kilichotokea na wamebaki na aibu ya majuto. Ahsante sana Invisible,
ahsante sana Msemakweli!