Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Uadilifu upi wewe unaozungumzia? Rushwa na ufisadi zilianza wakati wa Nyerere na hii EPA fedha zilichotwa wakati gani? Ukishajibu hilo utaujuwa uadilifu uliokuwepo.

Nyerere si EPA, epa cha mtoto wakati wake. Kabla ya kung'atuka mpaka benki aliitia moto. Kwanini?
Nilidhani ni mtu uko huru kimawazo na kifikra kumbe una agenda nyingine iliyojificha ndani kabisa ya mabandiko yako haya. Jitahidi uwe huru kabisa kwa mambo kama dini yako, viongozi wako, chama chako, kabila lako,.....
 
Mkuu, badilika basi hata kidogo JF, kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam, kwenye posts zako zote uwa kuna vitu viwili tu kuisifia CDM na kuponda Uislam, toa basi na michango mingine ya ujenzi! sote ni watanzania hakuna dini itakayoshinda, ni ushauri tu mkuu wangu
kwani huwa haawaambiwi vitu hivyo kuhusu Nyerere kwenye mihadhara/madrassa nk?? mbona proof tunazo hapa mkuu! Kiukweli siupingi uislam ila sizipendi tabia za baadhi yenu wengi kudanganyana na kuaminishana vitu ambavyo si vya kweli ! nime react hapo kwa sababu hiyo kitu ya nyerere imepikwa kwenye mihadhara yenu ya dini!
Hujalazimishwa kuzisoma comments zangu pia....! siku njema.
 
safi sana,pamoja sana Mwanaharakati wa kweli``mungu amtie nguvu na kumuongezea ujasiri katika kupambana kwake```Jembe nakuunga mkono.
 
huyu msemakweli kwanini asishirikiane na wanaharakati wengine waende mahakamani? ni lazima ahusishwe feleshi?
 
Umemaliza?<br />
Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!<br />
Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
<br />
<br />
I HATE WANAOWAFAGILIA NA KUWAKUMBATIA MAFISADI! Laana ya Watz wote wanaoteseka iko juu yao... Don't think if u r mentioned by over 30 million Tanzanians who are affected by ur bad character everyday, u will be free from that curse, IT WILL FOLLOW U TO THE GRAVE up to when u get b4 God's judgement.
 
Swali ninallojiuliza, ni kwa nini DPP alikuwa ameshindwa kuwafungulia kesi hawa wahusika wakati uwezo anao? Je sasa, baada ya kupatikana ushahidi wa Msemakweli, atawafungulia mashtaka? Kwa nini sasa? Hapa kuna kitu hakijakaa sahihi. Kuna kitu kinaniambia kuwa DPP 'alishikwa mkono' na wakubwa asione ushahidi. Je wakubwa watamruhusu sasa? Na kwa nia ipi iliyokuja wakati huu?
 
Jamani sheria zinazolinda ufisadi zimepitwa na wakati.Kama mhasibu wa shirika X akiiba benki kutumia jina la kampuni X na kubanwa akarudisha then tuje tuseme kwa kuwa yeye ni mwajiriwa basi hawezi kushitakiwa watashitakiwa watu aina ya kina Maranda na wenzake walioiba Bilioni 2.

Ndio hapo mwenzetu humu anasema tunahitaji dikteta mwenye visheni kuikomboa nchi, tunahitaji Kagame wetu kuwafunga wala rushwa. Jamani kama walirudisha fedha sasa mwizi ni nani? Hapo tu inatosha achilia mbali hizo transanction za kuhamisha na kuchota hizo fedha kwa mafungu.

Hauhitaji sheria hata kama kweli ingekuwa haipo. Serikali ya wananchi ndio inajulikana wenye mambo kama haya. Kutumia vyanzo na rasimali zake mbali mbali mbali wahusika wanaweza kushtakiwa.

Wenzetu wanaona Makosa ya BAE si kwa sababu kuna makosa ya kisheria right away lakini sababu Taasisi zao zinafanya kazi kizalendo. na kimaadili

U can be legally right But morally wrong. Na ukiwa morally wrong tayari kwa mtu kama wanasheria makini kisheria unakamatwa. Kwenye profession nyingi kuna mambo mawili Legal responsbility na ethical resposibility. Ni kosa watu kudhani wakitimiza sheria wakakosa moral katika conduct zao basi watakuwa salama. May be utakuwa Salama only in Tanzania.

Swali ninallojiuliza, ni kwa nini DPP alikuwa ameshindwa kuwafungulia kesi hawa wahusika wakati uwezo anao? Je sasa, baada ya kupatikana ushahidi wa Msemakweli, atawafungulia mashtaka? Kwa nini sasa? Hapa kuna kitu hakijakaa sahihi. Kuna kitu kinaniambia kuwa DPP 'alishikwa mkono' na wakubwa asione ushahidi. Je wakubwa watamruhusu sasa? Na kwa nia ipi iliyokuja wakati huu?

Ndio maana kwangu naona hii ni sanaa wakubwa wanaogopa kusema wazi wazi wale wanayoyajua saabu wahusika wamewaweka mfukoni. So wanawatumia kina msema kweli kuonekana kama ndio walifichua yale yayojulikana.
May be

  • Upande mmoja ni dalili nzuri kuwa wanataka kuwashataki wahusika wakuu
  • lakini uapande mwingine ni dalili mbaya kuwa anayetakiwa kushtaki yaani DPP na serikali haitaki kuonekana kama yeye ndio anaibua evidence .na ufanya uchunguzi Sasa ndio wanawatumia kina msemakweli. hii ni dalili ya incomptence na corruption ndani ya ofisi ya DPP
 
  • Thanks
Reactions: EMT
FF. 2nd yr inamkutesa dogo na mkarai yako harafu hata sup zinamngoja huyu.
 
Anza wewe utengezezwe na vijana wa Mwema ili iwe fundisho kwa watu wa aina yako. Kunguru we!

Una uhakika gani kuwa huyo anayeshauri hivyo sio kijana wa Mwema. To me inawezekana watakaofanya hivyo ni vijana wa Mwema cos they are one of those who live a terrible life style.
 
Kwanza walaaniwe wale wote wanaotetea unyama huu hapa jamvini, lakini kwa nguvu za mungu waliowengi watashinda tu.
Pili ahsante sana Invisible kwa issue kubwa kama hii! hawa wakina Rejeo,SlidingRoof,mwita 25,kishongo etc. wasikuumize kichwa,
kwani hata Egypty,Tunisia,kenya,zambia na sasa Libya kulikuwa na watu kama hawa waliokuwa wanazitetea serikali dharimu dhidi
ya waliowengi....lakini leo hii wote wamesambaratika na hawaamini kilichotokea na wamebaki na aibu ya majuto. Ahsante sana Invisible,
ahsante sana Msemakweli!

Na kusambaratika huko kwa watawala dhalimu ndio kunakowaumiza vichwa hawa jamaa. History is remaking the history of revolution kwa watawala dhallimu wote.
Wakati wa Nyerere ulikuwa ni kuwaondoa watawala dhalimu wa kigeni, huu ni wakati wa mapambano dhidi ya watawala wezi na wanyonyaji wa kiafrika.
 
Hivi huyu jamaa Msemakweli sio yule aliyeandika kitabu kinachohusu viongoz wenye vyeti feki vya degree,masters na Phd?kina Lukuv na Makongoro wakasema watamburuza mahakamani au siye?hv iliishia wapi?
 
Hv huyu Msemakweli sio yule aliandika kitabu cha vingozi wanaomiliki vyeti feki vya degree,masters na phd? Kina lukuvi na makongoro mahanga wakadai watamburuza mahakamani? Au siye?hv ile ishu iliishia wapi,hv kile kitabu bado kipo na kinauzwa? mwenye info atujuze please
 
mmmmmmmmmhhhhh makubwa tena, hii movie kumbe ilikuwa inafanyiwa edition sasa imerudi tena sokoni na naona mauzo na makubwa tu, sijui kama atapona mtu this time hasa huko igunga mmmh haya bhana, kwahio chichiemu walikubali kutumiwa kama kile kitendea kazi kile chepesi kile sijui kinaitwaje kile...ili jamaa wakamate mshiko. mmh mie urafiki na muhindi/muarabu....aaaah hata siku moja
 
Hakuna kitu kinachosumbua dunia ya leo kama huu uhalifu wa kimtandao.

Mojawwapo ya maazimio ya kuunda Interpol ilikua ni kushughulika na mambo ayo

sababu kubwa ikiwa ni jurisidiction differences.

Nchini uingereza kuna sheria inayoshughulika na Money laundering and proceeds of crime.

Serikali na vyombo vyake vina mamlaka ya kutaifisha na kufirisi mali iliyopatikana kutokana na shughuli za uhalifu.

Nimepata kusoma sheria za Tanzania kuhusiana na Anti Money laundering, nasikitika kuwaambia watungasheria wetu

wametengeneza loopholes za wazi wazi. Mfano mzuri ni kuhusiana na Politically Exposed Persons (PEP) kwa general definition

ya PEP wigo wake ni "any person who is politician or has held political position or a prominent public figure or their related parties .........................."

lakini sheria ya Tanzania inaeleza PEP kama; "any foreign person". Angalia walivyoubana wigo wa hii definition. Matokeo yake

vile vigezo vikali vya Anti Money Laundering au due deligence vinavyotakiwa kuwagusa viongozi-wafanyabiashara na jamaa zao havinanguvu.

hii ni moja ya sababu kuu ya wafanyabiashara wa Tanzania nao kukimbilia siasa na wanasiasa kukimbilia biashara.

Lakini kwa kumbukumbu zangu kuna bank moja hapo nyumbani kwa kufuata vigezo na kanuni za kimataifa za

Anti Money Laundering ilifanikiwa kuzuia pesa za EPA kutoka kupitia moja ya tawi lake. Hizo pesa nadhani mwisho wa siku zilitokea CRDB.

Kwa maoni yangu EPA is way too big for the current administration to deal with.

Magogoni and its organs wont dare cast a stone on those behind EPA.
 
hivi huyu jamaa msemakweli sio yule aliyeandika kitabu kinachohusu viongoz wenye vyeti feki vya degree,masters na phd?kina lukuv na makongoro wakasema watamburuza mahakamani au siye?hv iliishia wapi?

ukweli unauma waliona kuliko kuumbuka bora kukaa kimya!
 
Frankly speaking i still dont think this attempt by Msemakweli marks a big step forward.

Sounds like an attempt to drive the public away from critical issue going on in the country

or probably laying the foundation for an upcoming political mansoon, as they have been so

common as they are mansoon rains in India.

I would have considered this a step forward hard there been footage (CCTV) evidence of the gentlemen

hauling EPA cash out of CRDB bank (showing faces, vehicles used, ownership of those vehicles), indepth

description of the individuals accompanying/collecting the cash or voice recordings (phone taps) of perpetrators in discussion.

It is time we learn investigation and preparation of investigation reports especially when you intend to release your

findings to the public. Be clear and concise in every aspect, that will earn you credibility and public support.

I am sure this event has not won hearts of tonnes of Tanzanians has it doesnt stand out from the rest of the stories

about EPA. If its about linking Manji and Rostam to this saga, many newspapers and politicians from the opposition camp

(Dr. Slaa, Mtikila) have done so.

This is my opinion!
 
Kwa karne hii ni watu wachache sana wenye moyo kama wake. Mungu mbariki.
 
Back
Top Bottom