Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
sasa mambo ndo yameiva ukombozi unakalibia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani sheria zinazolinda ufisadi zimepitwa na wakati.Kama mhasibu wa shirika X akiiba benki kutumia jina la kampuni X na kubanwa akarudisha then tuje tuseme kwa kuwa yeye ni mwajiriwa basi hawezi kushitakiwa watashitakiwa watu aina ya kina Maranda na wenzake walioiba Bilioni 2.
Ndio hapo mwenzetu humu anasema tunahitaji dikteta mwenye visheni kuikomboa nchi, tunahitaji Kagame wetu kuwafunga wala rushwa. Jamani kama walirudisha fedha sasa mwizi ni nani? Hapo tu inatosha achilia mbali hizo transanction za kuhamisha na kuchota hizo fedha kwa mafungu.
Mkuu maana yake ni kwamba Kagoda=Magamba?Pamoja na ushahidi huu wa Msemakweli, Kagoda bado haitafikishwa mahakamani kamwe!.
Alichokifanya Msemakweli ni kufuatilia procedures tangu za usajili wa Kagoda, asili ya jina, pesa zilichotwa lini na zikaingizwa wapi.
Ambacho hakuweza kubaini ni fedha hizo zilifanya nini, yeye anaamini zilitoroshewa nje ya nchi kupitia duka fulani la kuuza fedha za kigeni.
Kitu ambacho Msemakweli hakuweza kubaini ni the motive behind fedha za Kagoda na the real main players. Hao wote aliyowataja ni proins tuu kwenye hii game ya chess wahusika wakuu wote wako pembeni na hakuweza kuwabaini.
Kwa wenye kumbukumbu watakumbuka Mama Meghji aliliambia nini Bunge letu pale Dodoma. Mama Meghji alikiri kuwa she was duped na waliomdupe sio Rostam wala Manji!. Tena alisema alinyanyua simu kuongea na wakuu wakamthibitishia hizo fedha ni kweli zinahitajika kwa madhumuni yaliyotajwa hivyo akaidhinisha!. Hii part Msemakweli haijui kwa vile kwenye maandishi haionekani popote.
Msemakweli ameishia kwenye handling of transactions tuu na sio kwenye end use.
Ile kamati ya uchunguzi inayajua yote aliyoyasema Msemakweli ila pia inajua the end use ya hizo fedha and as a result, Kagoda haitafikishwa mahakamani hata mara moja labda baada ya 2015 only if...siyo CCM tena!.
<br />kweli mpuuzi ni mpuuzi na ni bora kumpuuziaNawaombeni wanachadema agenda hii isitumike kwenye kampeni za igunga kwani mtaleta uchochezi na kahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Ikumbukwe kwamba Ndugu RA ameteuliwa kufungua kampeni akiambatana na ndugu Ben so ongeeni yoote mnayoyafahamu sio hili. Thanks.
Wanaohusika serikali inadai haiwafahamu. Nawafahamu na wanakaa Kinondoni na walifanya hivyo kwa maelekezo ya Rostam Aziz.
Walioenda Brela kusajili kampuni tuna picha zao na majina yaliyoandikwa ni ya uwongo.
Jina Kagoda linatokana na KATO na GODA.
Angalia nyaraka zilizoambatanishwa.
Baada ya Kagoda kufunguliwa, ilitakiwa itengenezwe account ambayo ilitengenezwa CRDB na mdhamini alikuwa Yusufu Manji (angalia attachment chini ya 1st post ikionyesha na account number).
<br />Msemakweli kuwa makini maana hawa watu siku izi kuutoa uhai wa mtu ni kama kunywa maji tuu hasa unapoingilia maslai yao!
<br />Nawaombeni wanachadema agenda hii isitumike kwenye kampeni za igunga kwani mtaleta uchochezi na kahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Ikumbukwe kwamba Ndugu RA ameteuliwa kufungua kampeni akiambatana na ndugu Ben so ongeeni yoote mnayoyafahamu sio hili. Thanks.
Msemakweli ni nani huyoo jamani?
<br />Kwanini kama serikali haitaki kushitaki wanaharakati wasifungue mashitaka wao,ama sheria haziruhusu ndugu zangu make kamwe magamba hawawezi kupeleka wezi hawa kisutu hata siku moja
Mimi sio mwanasheria wala sijasoma Law na Utanzania wangu ni wakusukumiwa tu na Nyerere, mimi ni Mtanganyika ambae nilijikuta nalazimishwa kuwa Mtanzania nikipenda nisipende. Na hivi niko mbioni kuudai Utanganyika wangu.MTANZANIA HUYU........HAELEWI, HASIKIII........... HYO LAW KASOMEA INDIA!!!!!!!!
tupe kwanza ushahidi uliomtia hatiani Farijala ili tupime kama akili zako ziko sawa au ni shake well b4 use.
maana umekuwa mahiri wa kumsifia mjomba wa bagamoyo kuwa amepeleka watu mahakamani kuliko wakati wowote.
sijui unafikiri kwa kutumia nini? kama huko nyuma hakukuwa na mtu alipelekwa mahakamani huoni kama kulikuwa na uadilifu? au unataka watu wapelekwe mahakamani hata kama hawana makosa?
kama hiyo kitu kwenye bold umelishwa na wewe ukakubali , basi uwezo wako kichwani wa ku digest mambo hauna tofauti sana na wale watoto wenu mnaowafundisha karate kwenye madrassa zenu.Uadilifu upi wewe unaozungumzia? Rushwa na ufisadi zilianza wakati wa Nyerere na hii EPA fedha zilichotwa wakati gani? Ukishajibu hilo utaujuwa uadilifu uliokuwepo.
Nyerere si EPA, epa cha mtoto wakati wake. Kabla ya kung'atuka mpaka benki aliitia moto. Kwanini?
Mkuu, badilika basi hata kidogo JF, kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam, kwenye posts zako zote uwa kuna vitu viwili tu kuisifia CDM na kuponda Uislam, toa basi na michango mingine ya ujenzi! sote ni watanzania hakuna dini itakayoshinda, ni ushauri tu mkuu wangukama hiyo kitu kwenye bold umelishwa na wewe ukakubali , basi uwezo wako kichwani wa ku digest mambo hauna tofauti sana na wale watoto wenu mnaowafundisha karate kwenye madrassa zenu.