Nilidhani ni mtu uko huru kimawazo na kifikra kumbe una agenda nyingine iliyojificha ndani kabisa ya mabandiko yako haya. Jitahidi uwe huru kabisa kwa mambo kama dini yako, viongozi wako, chama chako, kabila lako,.....Uadilifu upi wewe unaozungumzia? Rushwa na ufisadi zilianza wakati wa Nyerere na hii EPA fedha zilichotwa wakati gani? Ukishajibu hilo utaujuwa uadilifu uliokuwepo.
Nyerere si EPA, epa cha mtoto wakati wake. Kabla ya kung'atuka mpaka benki aliitia moto. Kwanini?
kwani huwa haawaambiwi vitu hivyo kuhusu Nyerere kwenye mihadhara/madrassa nk?? mbona proof tunazo hapa mkuu! Kiukweli siupingi uislam ila sizipendi tabia za baadhi yenu wengi kudanganyana na kuaminishana vitu ambavyo si vya kweli ! nime react hapo kwa sababu hiyo kitu ya nyerere imepikwa kwenye mihadhara yenu ya dini!Mkuu, badilika basi hata kidogo JF, kwako ni uwanja wa mapambano dhidi ya Uislam, kwenye posts zako zote uwa kuna vitu viwili tu kuisifia CDM na kuponda Uislam, toa basi na michango mingine ya ujenzi! sote ni watanzania hakuna dini itakayoshinda, ni ushauri tu mkuu wangu
<br />Umemaliza?<br />
Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!<br />
Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
Kwa hiyo unaubeza siyo?Sisi tunangoja RA na YM wafikishwe mahakamani kwa "ushahidi" huu wa Msemakweli.
Jamani sheria zinazolinda ufisadi zimepitwa na wakati.Kama mhasibu wa shirika X akiiba benki kutumia jina la kampuni X na kubanwa akarudisha then tuje tuseme kwa kuwa yeye ni mwajiriwa basi hawezi kushitakiwa watashitakiwa watu aina ya kina Maranda na wenzake walioiba Bilioni 2.
Ndio hapo mwenzetu humu anasema tunahitaji dikteta mwenye visheni kuikomboa nchi, tunahitaji Kagame wetu kuwafunga wala rushwa. Jamani kama walirudisha fedha sasa mwizi ni nani? Hapo tu inatosha achilia mbali hizo transanction za kuhamisha na kuchota hizo fedha kwa mafungu.
Swali ninallojiuliza, ni kwa nini DPP alikuwa ameshindwa kuwafungulia kesi hawa wahusika wakati uwezo anao? Je sasa, baada ya kupatikana ushahidi wa Msemakweli, atawafungulia mashtaka? Kwa nini sasa? Hapa kuna kitu hakijakaa sahihi. Kuna kitu kinaniambia kuwa DPP 'alishikwa mkono' na wakubwa asione ushahidi. Je wakubwa watamruhusu sasa? Na kwa nia ipi iliyokuja wakati huu?
Anza wewe utengezezwe na vijana wa Mwema ili iwe fundisho kwa watu wa aina yako. Kunguru we!
Kwanza walaaniwe wale wote wanaotetea unyama huu hapa jamvini, lakini kwa nguvu za mungu waliowengi watashinda tu.
Pili ahsante sana Invisible kwa issue kubwa kama hii! hawa wakina Rejeo,SlidingRoof,mwita 25,kishongo etc. wasikuumize kichwa,
kwani hata Egypty,Tunisia,kenya,zambia na sasa Libya kulikuwa na watu kama hawa waliokuwa wanazitetea serikali dharimu dhidi
ya waliowengi....lakini leo hii wote wamesambaratika na hawaamini kilichotokea na wamebaki na aibu ya majuto. Ahsante sana Invisible,
ahsante sana Msemakweli!
hivi huyu jamaa msemakweli sio yule aliyeandika kitabu kinachohusu viongoz wenye vyeti feki vya degree,masters na phd?kina lukuv na makongoro wakasema watamburuza mahakamani au siye?hv iliishia wapi?