Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Hahaha..umenikumbusha mbali mkuu!
Na hii habari soon CEO atakuja kututaka radhi kupisha uchunguzi!
Soon hii sredi itaondolewa!
Haya ndio madhara ya kutumia tundu la kati kufikiri badala ya ubongo, Invisible alichoripoti ni Press conference na sio Investigation news, hivi hili nalo linahitaji degree kulifahamu?
 
Haya maushahidi yatatusaidia sana when CCM gets out of power, anakamatwa mmoja baada ya mwingine. History ni tamu sana, these thieves will never get away with this, that's the only thing that comforts me.
 
Timing mbaya mkuu?

ha ha ha ha ha! hapa nimeelewa zaidi ya wewe mkuu!! duh! igunga itatoa watu roho.
lile la Shimbo mie naliamini 100% coz hata asaivi anaonyeshwa sana kwenye luninga ili kutuzuga, ila jamaa hata anavyoonekana hana hata confidence, kila nikimuona nakumbuka trilion 3 wakati mimi kila siku nadunduliza pesa ya mafuta ya taa.
 
Haya ndio madhara ya kutumia tundu la kati kufikiri badala ya ubongo, Invisible alichoripoti ni Press conference na sio Investigation news, hivi hili nalo linahitaji degree kulifahamu?
Haha..tundu la kati ndio nini?
Nimekumbushia tu habari ya Shimbo! Sijui kama ulikuwa unaifahamu!
 
usiwe kama mlevi aliyeshughulikiwa, na kujitetea kwamba wameshughulikia pombe!

Huyu kesha kwaruzwa hakika maana anaweweseka kaloana chepechepe hahahaha .
 
Yeah...
Mwanzoni alianza vizuri..nikajua anakuja na kitu kipya ambacho ni so interesting. Nilikuwa na hamu sana ya kukifahamu!
Post zilivyozidi kuendelea nikarealize kuwa ni marudio ya kila kitu! Wana spam tu ubongo wangu
Hahahaha

Namsubiria Mwita25...
 
Subiri aiongelee Msemakweli, maana hata hii yenyewe si niliiweka mwenyewe hapa kwanza? Akitoka nayo Msemakweli au Dr. Slaa mtawaamini kirahisi... Itakuwa BIG NEWS ha ha ha (wakuu tusivuruge mjadala)
Mkuu, we mwaga data bana usiipoliticise ile ishu
 
Hii taarifa ya msemakweli, wapiga kura wa Igunga haitawaathiri kwa vile wao walifaidika na mapesa ya RA. Kwa Igunga CDM mtumie mbinu nyingine
 
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
 
Bwa! ha! ha! Robot (Invisible)...ila taarifa ya Bw Msemakweli might be true or otherwise....lakini as far as kampeni za uchaguzi wa Igunga ambao unaendelea sasa ....honestly, its a crap...why now? why this time....Shortly, bad timing Mr. Msemakweli. NOT THIS TIME....
 
Political timing
 
Kimsingi vita ni kubwa sana, Huyu Msemakweli siku zote ni MSEMAKWELI! tukumbushe akina Lukuvi, Nchimbi etc walitishia kumburuza mahakamani kuhusiana na kitabu chake cha matapeli wa Elimu, wakaishia njiani. Keep Up Msemakweli
 
Timing mbaya mkuu?
kuna usemi nausikiaga. unasema, "anything you do I can do it better". so magamba wawe na tahadhari sana. they are not the best but just good or better for other to easily compete with
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…