Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

@Rejao, comment yako ya kwanza kwenye hii thread umeandika kuwa hizi habari 'zinastua'. Sijui ni boss wako kakumbusha kuwa uko kazini maana sasa unaonekana kuandika kinyume na your first reponse. Ungekuwa wewe ni witness mbele ya hakim basi ungekuwa kama yule New York Maid aliyejichanganya na madai ya kubakwa na boss wa IMF.

Nikukumbushe kwa mara nyingine tena, ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu nzuri!
Usipende kurukia vitu juu juu!
Fuatilia vizuri posts zangu zote
 
Mkuu katika siasa timing ni muhimu. Kama hii ya Kainerugaba ni timing wala haina shida ndio siasa zenyewe hizo
Ndo manake, sasa subiri usikie Mkapa atakavyochanwa na yeye...... ila nimeona media pekee iliyoenda kwa Msemakweli ni ITV tu sielewi TBC na wengine hawakuitwa?
 
Heri tuhuma hizi zimfikie RA kabla hajaenda kumfanyia kampeni mgombea ubunge wa Igunga ili ajione jinsi alivyo fisadi aone aibu kusimama jukwaani.
 
Hakuna jipya hapa, hizi ni kampeni za Igunga zimeanza kwa staili ya MAJITAKA.
Sishangai.....ndivyo CDM walivyo. Lakini hamna madhara, wataishia kuwa chama cha WANUNG'UNIKAJI'.
 
There are currently 300 users browsing this thread. (88 members and 212 guests)

Hapo kwenye red hao 212 lazima ROSTAM na MANJI watakuwa wanakula info kupitia JF
 
Okay,,so pesa hazijaibwa BoT??na kagoda haijachukua???
Hakuna jipya hapa, hizi ni kampeni za Igunga zimeanza kwa staili ya MAJITAKA.<br />
Sishangai.....ndivyo CDM walivyo. Lakini hamna madhara, wataishia kuwa chama cha WANUNG'UNIKAJI'.
 
Mtei na Rostam
Wakati huo huo, Mwandishi Mosses Mashalla anaripoti kutoka Arusha kuwa, Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amesema kuwa kitendo cha CCM kuamua kumtumia mbunge aliyejiuzulu kwenye jimbo hilo, Rostam kwenye kampeni za uchaguzi huo mdogo, kitawagharimu.

.......Alisema kuwa wao kama Chadema watatumia mkakati huo wa CCM kama sehemu ya kujiibulia kura kwa kuweka hadharani kashfa zake.
Source: Gazeti Mwananchi
 
watu aina ya msema kweli ndo tunawataka
 
Hiyo ndiyo siasa yenyewe. Mbona CCM waliibua UCHUMBA wa Mzee Slaa kabla kidogo tu ya wananchi kwenda kupiga kura? Siasa ni vita isiyokuwa na macho lakini pia haina silaha za moto!!
 
Natetemeka uwiii.wageni wanatumaliza.wanakula fedha kulilo cc wazawa
 
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
Bold sentence na kwa nini isiwe issue wakati watu wameiba fedha za watu? Kun namna hapa,
 
kuna watanzania wazalendo katika nchi hii. msemakweli ameonyesha njia, watanzania tumuunge mkono! hongera msemakweli!
 
Back
Top Bottom