Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?
mbona wezi wa kuku mitaani wanapigwa, wananyang'anywa halafu wanapelekwa polisi then mahakamani. We vipi?
 
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.

Mkuu Rejao hiyo ndiyo siasa. Siasa haina sheria kama za ngumi kwamba usipige chini ya mkanda. Ukikaa vibaya jamaa anatwanga tu hata chini ya mkanda ili usizae tena!! Kwa kuwa Msemakweli ni mwanaharakati na ni mwanachama wa CHADEMA basi anatumia fursa hii kuwaambia wapiga kura wa Igunga kwamba huyo jamaa atakayekuja kupiga kampeni ndiye aliyeiibia benki kuu yenu mamilioni kwa mamilioni ya hela zenu!!

Lakini Rejao naona hii taarifa imeitakasa CCM na hata Rostam mwenyewe ametakaswa kwa kuwa hakuna mahala ambapo anaonekana kwamba ni mwanzilishi wala mmiliki wa kagoda. Wacha wakamatwe hao akina Kato na Tabu na hata huyo mwanasheria Sanze.
 
Uzuri wa hii movie ni kwamba haitakaa iishe hadi watazania watakapoamua kuimaliza.

Naamni Msemakweli kafanya jambo jema ambalo watanzania wengi tunaliogopa kama ukoma ingawa tu mabingwa wa kulalama!
 
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.

Wizi wa mabililioni ya watanzania not a big deal??
 
Uzuri wa hii movie ni kwamba haitakaa iishe hadi watazania watakapoamua kuimaliza.

Naamni Msemakweli kafanya jambo jema ambalo watanzania wengi tunaliogopa kama ukoma ingawa tu mabingwa wa kulalama!
Nilichoipendea hii ya Msemakweli ni kwamba, Angalau Amezindua kampeni za Chadema Igunga. Ameifanya purposely, kwa wakati maalum na kwa watu maalum. Kazi ipo kwa CCM sasa
 
RA alipuliwe mapema ili akose nguvu ya kwenda kusimama jukwani kumnadi mgombea wa ubunge huko Igunga kama walivyo kubaliana na rafiki jk
Kama JK bado ni best wa RA and CO, hivi usalama wa maisha ya nape uko wapi jamani?
Nape alionywa mapema kutomwamini jk kwani historia yake inaonyesha ni mtu kigeugeu. Hakusikia na alitoka na kauli mbiu ya kuvua magamba akifikiri mkuu wa kaya yupo upande wake. Sasa gamba ni lulu na Nape ni restricted.
.
 
kwa kutumia masaburi yenu kina rejao mnadhani jamaa analenga uchauzi wa igunga...huyu jamaa ni kwamba mda umefika wa yeye kufichua mambo baada ya kukusanya ushahidi wake..........safi sana msemakweli.......
 
Kwa nini tusiwafilisi na kuwanyonga hawa magaidi?napata hasira sana ninapoona hawa watu wanaendelea kuishi.
 
Mh!asante sana mkuu Invisible kwa mawasilisho.,sasa nafsi imetulia....baada ya kuwekwa roho juu na Mzee Mwanakijiji kwenye ile sredi ya count down!

@Rejao, comment yako ya kwanza kwenye hii thread umeandika kuwa hizi habari 'zinastua'. Sijui ni boss wako kakumbusha kuwa uko kazini maana sasa unaonekana kuandika kinyume na your first reponse. Ungekuwa wewe ni witness mbele ya hakim basi ungekuwa kama yule New York Maid aliyejichanganya na madai ya kubakwa na boss wa IMF.

Nikukumbushe kwa mara nyingine tena, ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu nzuri!
 
huyu barati goda ndo kavujisha kila kitu.....hahahahhaaaaaa safi sana
 
Ama kweli nchi imeliwa. Twiga wa Tanzania amebaki kwato tu! Ufisadi wa hali ya juu na wakuu wa nchi ndio washiriki wakuu. Muda umefika, tuamue kusuka au kunyoa. Bila ya kuleta mabadiliko ya kweli vizazi vijavyo vitabakia kuitazama Tanzania kwenye ramani na kuambiwa 'Hapo zamani za kale kulikuwa na nchi moja iliyokuwa inaitwa Tanzania...', nchi yenye kila kitu lakini wanaofaidi ni wachache sana.

Hivi hao wala nchi wanafika asilimia ngapi ya watanzania? Sidhani kama wanafikia hata asilimia tano ya wananchi wote. Wengine wote tunabaki kuwa watumwa kwenye nchi yetu. Muda umefika tuidai haki yetu ya kurudia hadhi yetu ya kuitwa Taifa Kubwa! Ni wewe na mimi, inawezekana, Timiza Wajibu Wako!
 
Bwa! ha! ha! Robot (Invisible)...ila taarifa ya Bw Msemakweli might be true or otherwise....lakini as far as kampeni za uchaguzi wa Igunga ambao unaendelea sasa ....honestly, its a crap...why now? why this time....Shortly, bad timing Mr. Msemakweli. NOT THIS TIME....

Anytime is the right time, including now. Huu ni wakati muafaka kwani kuna jukwaa la kuwaelimisha watu jinsi juhudi zao za kulima zinavyofanyiwa mzaha na baadhi ya watu.

This tactics za kuunfold uozo wa serikali huwa zinafanyika all over the world. Ni watoto wasiojua politics of the modern world ndio unaoweza kuwadanganya.

Hata hivyo CDM wana mengi mabovu ya kuwaonesha wana Igunga hata bila ya kumtaja Rostam, mfano giza totoro, bei ya sukari na vyakula, barabara mbovu, ukosefu wa basic needs kama maji safi. There is so much to show na sidhani kama CDM wataweza kuyamaliza yote kwa huu muda mfupi uliopo.
 
Back
Top Bottom