Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho nakutana na DPP kuweza kuongea naye juu ya ushahidi niliowasilisha juu ya walioiba fedha za umma kupitia Kagoda
Mkuu sana,
wewe kumbe ndio Msemakweli Kainerugaba?
Aha Rejao Mzee wa kuuma na puliza ni lipi ulitegemea liwe geni? Hakuna geni ila sasa ushahidi umewekwa wazi na hivyo kuinyima nafasi serikali kuendelea kudai haiwajui Kagoda!!!!BAdo unataka ushahidi zaidi?TibaUmemaliza?Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
Jamani hii sasa ni kali,nchi hii sijui tunaipeleka.Tumsubiri huyu DPP kilaza atafanya nini maana ushahidi kashapata
<br />Kumbe yuko biased!<br />
Hapo tayari nimeshaona tatizo la huyu jamaa lipo wapi.
tutafuteni jinsi yakuchoma malizao hata kama hatuna siraha hata petrol imekosekana wa kubwa?
Haya maushahidi yatatusaidia sana when CCM gets out of power, anakamatwa mmoja baada ya mwingine. History ni tamu sana, these thieves will never get away with this, that's the only thing that comforts me.