Naona unashindwa kabisa kunielewa. Kesi nyingi sana zinafunguliwa polisi na wao wanzipeleka mbele kusikilizwa, mfano mtu akikuibia na ushahidi wote unao, unaenda mahakamani moja kwa moja? si unaenda kumshitaki kituo chapolisi na hata taarifa za wizi huwa zinapelekwa polisi. Tafadhali sana kwa hilo usitake tubishane. Nakushangaa sana.
Hayo ya msemakweli ndio hayo hayo nnayosema mimi, hana cha kushitaki wala hajui cha kushitaki wala hana ushahidi wa kushitaki na ndio maana kapeleka huo anaouita "ushahidi" kwa DPP na halafu aka leak huo "ushahidi" wake ili aonekane kafanya kitu. Soma posts zangu za mwanzo utanielewa.
My God! Darasani ulipitaje? kama wachangiaji wengine walivyosema, kesi zote za jinai ziko chini ya serikali na DPP ndiye mwenye mamlaka ya mwisho ya kuendesha kesi or otherwise. Individual person hatuna uwezo wa kisheria wa kuendesha kesi za jinai kwani ni wajibu wa serikali kulinda watu na mali zao. hivyo basi katiba imetupa wajibu na haki wa kulinda na kutetea mali za umma. kama alivyofanya msemakweli, amatimiza wajibu wake kama mtanzania mzalendo kuwafichua wezi wa mali za umma.
Kilichobaki ni jamhuri kupita DPP kufungua kesi za watu hao na msemakweli anabaki kama shahidi namba moja. keep in your mind that we have no legal power as individual to institute criminal case...but only director of public prosecution has such power vested to him/her by the law(CPA) to handle and deal with all criminal cases within the United republic of Tanzania. Mama uwe unaelewa basi....