Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Thankx Inv! God be with U.

Kama CCM inataka kurejesha amani ya hii nchni kweli hawana jinsi itabidi wakamatwe tu bila kujali au la wawa-Balali Rostam na Manji.
 
Nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya Kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina Farijala inapelekwa mahakamani? Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? pumba? nambie huu ushahidi uliopo hapa una mtia hatiani RA au YM. Si pumba tuu hizi.

Faiza, kama alivyosema Keil hapo juu whether or not ushahidi unatosha it is upon the DPP to decide. Yeye ndio mwenye mamlaka ya mwisho kufungua kesi ya jinai dhidi ya watuhumiwa. Na hata akiona ushahidi unatosha na kufungua kesi, still mahakama ndio itakuwa ya mwisho kuukubali au kuukataa huo ushahidi.

Na hata kama zingekuwa ni kesi za madai, which, of course I strongly disagree, atakayeshtaki ni aliyekuwa party kwenye hizo arrangements. Could be BOT au serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu. Msemakweli hataweza hata kufungua kesi ya madai because he was not party to the contracts.

Kama Msemakweli amesema amempatia huo ushahidi DPP, then tumwachie DPP afanye kazi yake. Sisi huku tutabishana ushahidi unatosha au hautoshi, lakini DPP ndio mwenye say ya mwisho kama ushahidi una mshiko wa kufungua kesi.
 
Kikwete ndio hakimu? unanchekesha. Hao kina nalaila si ndio hao tu au kuna zaidi yao? mie nimekutajia wangapi au niendelee na listi?

Kikwete alikuwa hakimu siku hiyo alipotamka kwamba kesi ya Mramba ni ndogo na kwamba atashinda. Maana alishapitia hati ya mashitaka, akasikiliza utetezi na akaangalia ushahidi na hatimaye kufikia hiyo conclusion kwamba kesi ni ndogo sana, so lazima Mramba ashinde kesi.

Nimekutajia hao wawili kwa kuwa statement yako ya juu ilisema kwamba: "hatujawahi kuona vigogo kabla ya Kikwete wakisasambuliwa mahakamani zaidi ya wakati wa wake. Au na hili hulioni?"

Underline ni msisitizo kwamba maneno yako yalikuwa yanamaanisha kuwa haijawahi kutokea. Hilo la kwamba ni wengi au wachache sidhani kama lina umuhimu kwa kuzingatia statement yako ambayo ilikuwa inaonyesha kwamba JK ni wa kwanza kuruhusu vigogo waburuzwe mahakamani. Lakini ukweli ni kwamba kuna vigogo walishaburuzwa mahakamani kabla Kikwete hajaingia madarakani.
 
Nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya Kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina Farijala inapelekwa mahakamani?

Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? pumba? nambie huu ushahidi uliopo hapa una mtia hatiani RA au YM. Si pumba tuu hizi.

FF kumbuka huyo ni msema kweli ambaye hana resources zozte lakini kaweza kuuganisha ABC. So kama unaona sio ushaidi na ni pumba elewa mchele wote serikali inao haitaki watu wajue......
  • Kwa kutumia UWT, DPP, wanasheria TAKUKURU serikali inaweza kupata info za A to Z
  • Seriali inaweza kujua WHO, WHAT ,WHEN , HOW ya maswali yote yanaohusiana crime ya KAGODA
Ndio maana kama ninge kuwa JMK unayemsifia siku DPP aliptangaza kuwaambia wananchi wapeleke ushaidi basi siku hiyo hiyo ningefukuza kazi DPP . Wizi wa KAGODA na EPA sio wa mtu kuchomwa kisu njiani. Ni wizi umefanyika kwenye Ofisi. NI aibu na uSanii kwa DPP kuomba ushahidi kwa wananchi kwa issue hii.

Kama nilivysosema mwanzo DPP kutangaza wananchi kupeleka ushaidi ni kuonyesha incompetence kama si corruption au yote mawili . Kabla ya DPP kuomba msaada kwa wananchi alitakiwa kuwasiliana na huyo JMK aombe msaadaa wa UWT na machinery nyingine za serikali zimpatie taarifa. Kama alifanya hvyo na hakupata msaada ndio incomptence na corruption yenyewe kwenye system nzima tena from the top
 
Faiza, kama alivyosema Keil hapo juu whether or not ushahidi unatosha it is upon the DPP to decide. Yeye ndio mwenye mamlaka ya mwisho kufungua kesi ya jinai dhidi ya watuhumiwa. Na hata akiona ushahidi unatosha na kufungua kesi, still mahakama ndio itakuwa ya mwisho kuukubali au kuukataa huo ushahidi.

Na hata kama zingekuwa ni kesi za madai, which, of course I strongly disagree, atakayeshtaki ni aliyekuwa party kwenye hizo arrangements. Could be BOT au serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu. Msemakweli hataweza hata kufungua kesi ya madai because he was not party to the contracts.

Kama Msemakweli amesema amempatia huo ushahidi DPP, then tumwachie DPP afanye kazi yake. Sisi huku tutabishana ushahidi unatosha au hautoshi, lakini DPP ndio mwenye say ya mwisho kama ushahidi una mshiko wa kufungua kesi.

Mkuu hivi kuna mtu anayeamini uhalifu uliofanyika ofisini kwa kalamu ofisi ya DPP inaweza inakosa ushahidi wote inahohitaji mpaka kuhitaji msaada wa "wananchi" . Yaani hayaa anayosema msemakweli yakiwa ni mapya kwao tutawahoji na kama wanayajua inabidi tuwahoji zaidi pia.
Kama ni hivi basi kuna wahalifu wengi magerezani wanfungwa kimakosa na wahalifu wengine wengi wanatkiwa kuw amagerezani lakini wanakula upepo baharini Sasa mtu akichomwa kisu mtaani akauwawa DPP si ataomba waganga wa kienyeji.
 
FF kumbuka huyo ni msema kweli ambaye hana rsuces zozte lakini kaweza uuganisha ABC. So kama unaona sio ushaidi na ni pumba elewa mchele woe serikali inao haitaki watu wajue.
  • Kwa kutumia UWT, DPP, wanasheria TAKUKURU serikali inaweza kupata info za A to Z
  • Seriali inaweza kujua WHO, WHAT ,WHEN , HOW ya maswali yote yanaohusiana crime ya KAGODA
Ndio maana kama ninge kuwa JMK unayemsifia siku DPP aliptangaza kuwaambia wananchi wapeleke ushaidi basi siku hiyo hiyo ningefukuza kazi DPP . Wizi wa KAGODA na EPA sio wa mtu kuhomwa kisu njiani. Ni wizi umefanyika kwenye Ofisi. NI aibu na uSanii kwa DPP kuomba ushahidi kwa wananchi kwa issue hii.

Kama nilivysosema mwano DPP kutangaza wananchi kupeleka ushaidi ni kuonyesha incompetence kama si corruption au yote mawili . Kabla ya DPP kuomba msaada kwa wananchi alitakiwa kuwasiliana na huyo JMK aombe msaadaa wa UWT na machinery nyingine za serikali zimpatie taarifa. Kama alifanya hvyo na hakupata msaada ndio incomptence na corruption yenyewe kwenye system nzima tena from the top

Ndio maana nikasema anajitafutia umaarufu tu hana chochote zaidi ya hilo.
 
Kweli jamaa ana uchungu na taifa letu, asiogope kile wanachofanywa wanaharakati mbalimbali duniani kote kama wakina Che Guevara, Malcolm X, Mohandas Magandhi, Mzee mandela na wengine kibao, Tuko nyuma yake mwanaharakati huyu kuhakikisha taifa letu linafika tunapotaka.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO NA UWALAANI MAFISADI WOTE, AMEN.
 
Ndio maana nikasema anajitafutia umaarufu tu hana chochote zaidi ya hilo.

Hata kama anajitafutia umaarufu basi atapata umaarufu cheaply sababu ya incomptence na corruption ya watendaji wa JMK amabao JK mwenyewe amewateua. zaidi ya umaarudu ni kwamba kuna mali ya umma imeibiwa lakini mambo yanatakiwa kumalizwa imya kimya. wakati wanachi tunataka kujua uweli . Je wewe umeridhika?

Huo umaarufu wa msema kweli ulitakiwa aupate DPP ili JMK naye apate umaarufu kuwa alichagua mtu anayefaa. Msemakweli Na yeye kanukuu JMK na DPP statemnt zao kama ni umaarufu basi kuna watu wanatafutwa wapatiwe umarufu wa kagoda sababau serikali na watedaji wa juu wanaotakiwa kuupta huo umaarufu kwa kupiga filimbi kama DPP. JMK, OR wanaogopa.......

Sasa kikao kijacho mbunge wapizani inabidi waombe kuwepo na kitengo binafsi cha idara ya mashataka yaani kuwe na kitengo binafsi cha Private directorate of Public Prosecution . (PDPP) Sababu ubinafsihaji ni wimbo mzuri naamin CCM watakubali

Yaani kampuni binafsi inaendesha mashataka kwa ajili ya public. Ikishinda kesi wanalipwaaaaaaaaaa. wakishindwa gharama zinakula kwao...
 
Huo wote ni ushahidi "circumstantial" na sio "solid" na ndio maana si Msemakweli wala Msemauongo wanaoweza kushitaki wao wenyewe na wanaupeleka kwa DPP, kwani wanajuwa kwa ushahidi kama huo, wakishindwa kesi! wanafilisiwa. Kwani hao watu unao "wapeleka" mahakamani dau lao ni kubwa.

Haha ahaha ahahaha! inanibidi nicheke tu kimya kimya, hope you remember the highlighted!!!!!!!!!!!
 
Mkuu nadhani hata wewe katika nafsi yako unaamini kuwa Rostam kupitia Kagoda ndiye aliyeiba pesa za EPA kwa ajili ya kuisaidia CCM katika uchaguzi wa 2005. Sasa ije kuwa wanaokamatwa kuhusiana na Kagodo ni Kato na Tabu kweli utaamini? Lakini ndivyo inatakiwa iwe kwa kuwa wao ndio wakurugenzi na RA haonekani kwenye nyaraka!! Hivi ulifuatilia kidogo kesi kati ya Mengi na Manji? Kuna kipengele Manji alimkamata pabaya Mengi baada ya kusema yeye (Manji) si mmiliki wa quality finance bali ni muajiriwa tu!! Na kweli document zinasema yeye ni mwajiriwa. Kesi iliahirishwa sijui hadi lini!!! Na kwenye Kagoda RA si mmiliki wala mwajiriwa lakini tunaamini ndiye alichukua pesa zetu na wala siyo Tabu ama Kato!! Kuthibitisha hilo kisheria ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu a sindano!!! Ukizijua sheria raha mstarehe!!
Jamani sheria zinazolinda ufisadi zimepitwa na wakati.Kama mhasibu wa shirika X akiiba benki kutumia jina la kampuni X na kubanwa akarudisha then tuje tuseme kwa kuwa yeye ni mwajiriwa basi hawezi kushitakiwa watashitakiwa watu aina ya kina Maranda na wenzake walioiba Bilioni 2.

Ndio hapo mwenzetu humu anasema tunahitaji dikteta mwenye visheni kuikomboa nchi, tunahitaji Kagame wetu kuwafunga wala rushwa. Jamani kama walirudisha fedha sasa mwizi ni nani? Hapo tu inatosha achilia mbali hizo transanction za kuhamisha na kuchota hizo fedha kwa mafungu.
 
This can be a starting of a very special ending ... just in coner ...!!!
 
nipo nawe lakini si kwa ushahidi huu, kwani hii ya kagoda ilikuwa wapi wakati hiyo ya kina farijala inapelekwa mahakamani?

Hii haina mshiko ndio maana haijafikishwa hakuna ushahidi, upeleke nini? Pumba? Nambie huu ushahidi uliopo hapa una mtia hatiani ra au ym. Si pumba tuu hizi.
si mtanzania huyu........haelewi, hasikiii........... Hyo law kasomea india!!!!!!!!"
 
Huwa napata kigugumizi sana nikimkumbuka JK alivyokuwa muadilifu miaka ya zamani.....ila sasa yeye amekuwa king maker wa kuwalinda mafisadi!!!aibu sana kwa kweli sasa ataenda kujificha wapi baada ya urais wake?au atampata nani kuja kufukia mashimo yake??
 
Thanks kwa wahusika wote katika kurudisha assets zote na kuwafikisha watuhumiwa mahakamani ku-face justice. Inform tunazo na tunataka hili swala lifike mahakamani haraka sana na tunatoa mwezi tu ili hili swala liwe mahakamani. This campaign of collecting all mafisadi to jail just started na tunakwenda mpaka wanaisha wote mitaani mwetu....

Kama serikali haitaki kuwapeleka haya majambazi tutachukua hatua sisi wenyewe na tutawapeleka wote wahusika mahakamani kwa kutumia katiba yetu mpya (ya wananchi sio ccm). Time imefika na kuhakikisha hawa wote wanaolitesa hili taifa letu waende jela na kunyang'anywa utajiri wao wa wizi. Wote mnaoendelea kushiriki kuwatesa wananchi na kujiita investors (serengeti advisers na saimon groups) mkae tayari kuondoka kwenye huo utajiri wenu wa wizi. Iddi Simba, Chenge, mkapa, lowasa, rostam mmeupata waoi huo utajiri? (this is what we call criliminarity)

The problem of these people ni kwamba wanafikiri 2011 ni 1979. Generation yetu sio wajinga, angalieni Gadaffi na Mubarak role models wenu ccm yupo wapi leo? It's over, can you hear us coming?
 
Naona Mengi ameamua kuingia front dhidi ya wahindi. .................
Wale aliowataja kwamba wana degree feki na walitishia kumfungulia kesi, kesi hizo zimeishia wapi au zinaendelea Mahakamani kimya kimya?. ITV imekuwa na ujasiri wa kumrusha huyo mwanaharakati kwa sababu Mengi hapatani na hao waliotajwa? Maana wanaweza kufungua kesi dhidi ya huyo mwanaharakati pamoja na media zitakazo rusha hiyo habari.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom